Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakuelewa mkuu...Kama mtu inasemekana kuwa anaweza kumpisha rafiki yake, basi na hili linawezekana. Halina mjadala hapa, naona hii ni taarifa tu. Ni chaguo lako ukichoka kisamvu mkubaliane ingawa si rahisi kwa wengi kwani inaweza kuwa chanzo cha talaka.