Umewahi Sikia Hii??

Umewahi Sikia Hii??

Hadithi nzuri.... Inatufundisha, tusiwe na tamaa
 
maeneo ya stesheni,city centre kuna police wa central huwa wanatega kibinti kidogo
hivi lakini kimevaa kichangu doa hivi.....ukikitokea hivi
ukaenda nako gesti hivi,polisi wanakuja kukumata,kesi ya kubaka mwanafunzi....
usiwape pesa kwa nini?????lol

Unaenda kukipigia gemu zenj, tuone je police watakuja...? then unamkomesha akome....>!
 
Pole mkuu ulitoa bei gani?
 
Nilipoanza kazi nilionywa na wenyeji wangu juu ya huyu mama mfagizi wa hapa ofisini. Yeye ni mke wa mtu, na ni mama mtu mzima. Sijui kutokana na ugumu wa maisha au tabia tu, alikuwa na mchezo wa kutoka kimitegomitego. Kafumaniwa na mabosi wake zaidi ya watano, mwisho wa fumanizi mgoni analipa tu faini ya shilingi laki tano. Watu kuja kushtuka kuwa ulikuwa ni mchezo uliokuwa unachezwa na huyu mama kwa kushirikiana na mume wake, wakware wengi walishachomolewa pesa sana tu. Thanks God alihama mji na kazi aliacha....

duh hii kali haysee, so huyo ni chakula ya mabosi tu, mfagiaji mwenzake hawezi kula mana anajua hana kipato!
 
Asiyesikia la mkuu huvunjika kaguu kake. Wewe jifanye kidume!
 
duh hii kali haysee, so huyo ni chakula ya mabosi tu, mfagiaji mwenzake hawezi kula mana anajua hana kipato!
Hachagui hata kama huna kipato ukifumaniwa utajipinda upate hiyo laki tano ili kukwepa aibu!
 
maeneo ya stesheni,city centre kuna police wa central huwa wanatega kibinti kidogo
hivi lakini kimevaa kichangu doa hivi.....ukikitokea hivi
ukaenda nako gesti hivi,polisi wanakuja kukumata,kesi ya kubaka mwanafunzi....
usiwape pesa kwa nini?????lol

TB...Hii umeidaka wapi?
 
Unaenda kukipigia gemu zenj, tuone je police watakuja...? then unamkomesha akome....>!
<br />
<br />

Du gharama zote hizo! Mbaya zaidi hiyo itakuwa kesi ya child trafficking and abuse,upo.
 
Si ugumu wa maisha bali ni vitabia vya watu tu
 
Kama mtu inasemekana kuwa anaweza kumpisha rafiki yake, basi na hili linawezekana. Halina mjadala hapa, naona hii ni taarifa tu. Ni chaguo lako ukichoka kisamvu mkubaliane ingawa si rahisi kwa wengi kwani inaweza kuwa chanzo cha talaka.
 
Hapana mkuu wala hakuwa size yangu, japo yeye hakuwa anachagua!

we vp? ushaenda ukakuta si size yako? je ni oversize au undersize? ol in ol, kule hakuna size, vi2 vipo elastic
 
Back
Top Bottom