Umeweza kufanya shughuli zako vizuri katika kipindi hiki cha mvua?

Umeweza kufanya shughuli zako vizuri katika kipindi hiki cha mvua?

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
590
Reaction score
1,648
Wakuu,

Shughuli zako za kila siku zimeweza kufanyika vizuri bila tatizo lolote? Una la kuwaambia serikali kuhusu hali ya miundombinu kipindi hiki cha mvua?

Hali iko shwari huko ulipo? Maji yanapita bila shida yoyote?

mafuriko.jpg

mvua.jpg
 
Shughuli zinafanyika vizuri ila eneo la shughuli nafika nikiwa nimechelewa.

Niiombe serikali kupanua mitaro ya barabarani ili maji yapite kwa uhuru na kupunguza adha za njiani.
 
Bila umeme hakuna shughuli inayofanyika hapa kwenye kijiwe chetu cha kuchomelea
 
Back
Top Bottom