muzamilsajid
Member
- Mar 4, 2014
- 5
- 5
Asije akaambiwa yeye ni mkimbizi toka RwandaNi cha Taifa kile Mkuu, unapaswa kuwa nacho, ipo siku usiyo ijua utaambiwa ukitoe.
Mkuu ni kwamba vitengo haviaminiane licha kuwa wizara moja...hata kurenew passiport ya zamani unaombwa kila kitu kama yule anaeoba mara ya kwanza.....system za serikali naona bado haziko integrated na hakuna chief admin anayeweza ku grant access pale zinapo hitajika kwenye vitengo mbali mbali
necta wana data zao, nida wana dta zao, linapokuja swala la uchaguzi nao wana data zao ikitokea mmoja wao amekosa data fulani basi hawez kuwasiliana na mtu nnayeweza kumwita CHIEF ADMIN ili awape data hizo. Hivyo wanalazimika kumfikia/kumtaka mtu mwenyewe apeleke viambatanisho wanavyo vitaka.
system za serikali naona bado haziko integrated na hakuna chief admin anayeweza ku grant access pale zinapo hitajika kwenye vitengo mbali mbali

Mkuu hoja yako nzuri sana.system za serikali naona bado haziko integrated na hakuna chief admin anayeweza ku grant access pale zinapo hitajika kwenye vitengo mbali mbali
necta wana data zao, nida wana dta zao, linapokuja swala la uchaguzi nao wana data zao ikitokea mmoja wao amekosa data fulani basi hawez kuwasiliana na mtu nnayeweza kumwita CHIEF ADMIN ili awape data hizo. Hivyo wanalazimika kumfikia/kumtaka mtu mwenyewe apeleke viambatanisho wanavyo vitaka.
Kurenew line za sim na mengine mengi.[emoji18]
Nakubaliana na wewe mkuuMkuu hoja yako nzuri sana.
Inasikitisha sana kwa utandawazi huu wa kidijitali hilo linashindikana.
Hizi mamlaka zinatakiwa ziwe na coordination ya namna hiyo ambayo kupata data za mfumo mmoja kwenda mfumo mwingine iwe rahisi na utoaji wa huduma uwe rahisi pia.
Vyeti vyote vinavyotolewa na vitambulisho huwa vinakuwa na namba(code) maalumu ambazo zingeingizwa kwenye mfumo na ukitaka kupata taarifa husika, hizo code zingeingizwa na taarifa zingepatikana.
Karibu tena kijiweni mkuuNakubaliana na wewe mkuu
Ahsante chief, majukumu ya hapa na pale yalinipoteza ila tupo pamojaKaribu tena kijiweni mkuu
[emoji106][emoji106]Ahsante chief, majukumu ya hapa na pale yalinipoteza ila tupo pamoja
Mi navojua line za simu unaweza pata kwa kutumia kitambulisho chochote kile.
Kitambulisho cha mwanafunzi(Chuo, Sekondari)Kwenye Line za simu vitambulisho vinavyotambulika ni
Cha Taifa (NIDA)
Cha Mpiga Kura
Leseni ya Udereva
Hati ya kusafiria (passport)
Kitambulisho cha Mkazi Zanzibar
Sijawahi kuona kuwa wanasajili line tofauti na vitambulisho tajwa hapo juu
Nilishawahi kwenda na cha mwanafunzi, Tigo wakanitolea nje...wakakataa ikabidi nikatafute cha mpiga kura kuondoa kesiKitambulisho cha mwanafunzi(Chuo, Sekondari)
Kama wewe hukuwa mwanafunzi hawawezi kukubaliNilishawahi kwenda na cha mwanafunzi, Tigo wakanitolea nje...wakakataa ikabidi nikatafute cha mpiga kura kuondoa kesi