Umiliki wa ardhi ya vijiji

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
12,357
Reaction score
6,424
Wanasheria naomba ufafanuzi. Wanavijiji walioambiwa wahame vijiji vyao baada ya kushi kwenye vijiji hivyo tangu 1961 (over 53 yrs), sheria inawatetea vipi? Haki zao ni zipi. hata kama walivamia some 53 yrs back, what does the law say?
 
Wataalamu naona hamtaki kuwasaidia wanakijiji jamani kwanini mnawapotezea .Ebu njoni huku mtoe msaada !
 
Wataalamu naona hamtaki kuwasaidia wanakijiji jamani kwanini mnawapotezea .Ebu njoni huku mtoe msaada !

Kuna wanasheria kibao humu, they normally are reluctant to help/answer/educate! Money money money money!!!!!!!!!
 
Mkuu CHUAKACHARA Tunaweza kusaidia kwa namna moja au nyingine hata kama hatuna elimu kwenye maeneo hayo; Ebu pitia The Village land Act 1999 na hasa Section 15.Hapa chini ni kiapande amabacho kwa kiasi inaweza kujibu hoja yako!

Inasomeka hivi;

Last edited by a moderator:

Asante ngoja niisome hii act to internalise it.
 
kuna kitu kinaitwa adverse possesion,hii inampa mtu right to the land ikiwa amekaa kwenye ardhi zaidi ya miaka 12.....lakini pia ukumbuke ardhi yote ya Tanzania ni mali ya umma na kwa manufaa ya umma watu wanaweza ambiwa wapishe na kulipwa fidia stahiki na kwa wakati!!!!!!!kwa msaada zaidi ni PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…