Umilionea unamnukia dogo huyu mwenye kipaji cha kuchora

Dogo amchojoe pesa ya maana, painting wanathamini sana hawa jamaaa
 
Namimi jamani Mniangalie Niko vizuri pia.
uko vizuri tatizo ni pale ulipochora picha ya nyekukundu na kuwabeba simba ambao wengi sio wanunuaji bora ungewaweka Yanga pamoja tumefungwa ina tunaweza kununua.
 
Anataka kwenda chuo kikuu lkn anatamani aende na fani hyo,yupo six sasa lkn shule za art,sijui km kuna mchepuo huo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa bongo hapa sijui kama kuna kozi hizo, labda kama kuna mtu anajua atakwambia.

Kwa mtazamo wangu, kama ana ujuzi huo na interest ya haya mambo basi hata kama atasoma kitu kingine ajitahidi ajue Adobe photoshop(na/au tekinolijia nyingine za kuchezea picha/video) na ujuzi wa kupiga picha, vitamlipa baadae.
 
uko vizuri tatizo ni pale ulipochora picha ya nyekukundu na kuwabeba simba ambao wengi sio wanunuaji bora ungewaweka Yanga pamoja tumefungwa ina tunaweza kununua.
Nashukuru bro ingawaje umeweka utani kidogo but thanks..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…