mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Sijui yule mama Mpiga kabumbu anasubiri nini?anaona mwenzake kajitangaza.mama omba namba ya trump ukale raha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anataka kwenda chuo kikuu lkn anatamani aende na fani hyo,yupo six sasa lkn shule za art,sijui km kuna mchepuo huoAjaribu kutumia mitandao ya kijamii na kama akipata sehemu za exhibitions za paintings zinaweza kumsaidia kujitangaza.
uko vizuri tatizo ni pale ulipochora picha ya nyekukundu na kuwabeba simba ambao wengi sio wanunuaji bora ungewaweka Yanga pamoja tumefungwa ina tunaweza kununua.Namimi jamani Mniangalie Niko vizuri pia.
Kwa bongo hapa sijui kama kuna kozi hizo, labda kama kuna mtu anajua atakwambia.Anataka kwenda chuo kikuu lkn anatamani aende na fani hyo,yupo six sasa lkn shule za art,sijui km kuna mchepuo huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru bro ingawaje umeweka utani kidogo but thanks..uko vizuri tatizo ni pale ulipochora picha ya nyekukundu na kuwabeba simba ambao wengi sio wanunuaji bora ungewaweka Yanga pamoja tumefungwa ina tunaweza kununua.