denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Ulinzi wake ni tofauti na wafungwa wengine, tazama kwa makini utaona.Ukiwa jela si lazima ulindwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulinzi wake ni tofauti na wafungwa wengine, tazama kwa makini utaona.Ukiwa jela si lazima ulindwe
Alisha futwa uyo ata akiachiwa leo , zigo lake atatembea nalo MPAKA kaburiniKama ambavyo
Mashehe wa uamsho walivyotolewa.
Babu seya kulamba msamaha(anzi za magu).
Mdude kuachiwa(kushinda kesi).
Mbowe na wenzake mahakama kuamuru warejeshewe mamilioni.
Singasinga.
Bila shaka yoyote wewe kama mwanamchi wa kawaida jiandae kisaikolojia ya kwamba Aliye kuwa mkuu wa wilaya ya hai atatumikia adhabu ndogo sana ukilinganiaha na tuhuma lukuki zilizokuwa zinamkabili.
Rejea mwenendo wa kesi utapata mwanga wa hiki nikisemacho.
Si mlisema apatiwe ulinzi mkali asitorokeUlinzi wake ni tofauti na wafungwa wengine, tazama kwa makini utaona.
Tatizo mliobakwa na Sabaya hamuendi kutoa ushahidi mahakamani.Huyo Ngedera aliye tesa watu huko hai hata akitoka leo inatosha kwa walio umizwa naye sumu ya maumivu imewatoka na atakuwa amejifunza kuacha uhuni
huyo amelaaniwa na kina Mama hawezi toka salama bora afie huko King'ori GerezaniKama ambavyo
Mashehe wa uamsho walivyotolewa.
Babu seya kulamba msamaha(anzi za magu).
Mdude kuachiwa(kushinda kesi).
Mbowe na wenzake mahakama kuamuru warejeshewe mamilioni.
Singasinga.
Bila shaka yoyote wewe kama mwanamchi wa kawaida jiandae kisaikolojia ya kwamba Aliye kuwa mkuu wa wilaya ya hai atatumikia adhabu ndogo sana ukilinganiaha na tuhuma lukuki zilizokuwa zinamkabili.
Rejea mwenendo wa kesi utapata mwanga wa hiki nikisemacho.
Imagine Shahidi ambaye ndio wa muhimu ameanza kutoonekana Mahakamani then hapo lazima wajue kesi itapigwa mzee wa kuuza unga aachiwe kwa default judgment for a reason of kutokuwepo ushahidi wenye uzito kumtia hatiani.Kama ambavyo
Mashehe wa uamsho walivyotolewa.
Babu seya kulamba msamaha(anzi za magu).
Mdude kuachiwa(kushinda kesi).
Mbowe na wenzake mahakama kuamuru warejeshewe mamilioni.
Singasinga.
Bila shaka yoyote wewe kama mwanamchi wa kawaida jiandae kisaikolojia ya kwamba Aliye kuwa mkuu wa wilaya ya hai atatumikia adhabu ndogo sana ukilinganiaha na tuhuma lukuki zilizokuwa zinamkabili.
Rejea mwenendo wa kesi utapata mwanga wa hiki nikisemacho.
Then analipwa mafao yake yote na anakuwa Hana record ya criminal. Wao waendelee kutukana tu. Badala ya kukaa kuuliza wanatukana as if kila mtu ni CCMAkitoka ataomba kustaafu kwa hiyari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata wabakaji na walawitiKama ambavyo
Mashehe wa uamsho walivyotolewa.
Babu seya kulamba msamaha(anzi za magu).
Mdude kuachiwa(kushinda kesi).
Mbowe na wenzake mahakama kuamuru warejeshewe mamilioni.
Singasinga.
Bila shaka yoyote wewe kama mwanamchi wa kawaida jiandae kisaikolojia ya kwamba Aliye kuwa mkuu wa wilaya ya hai atatumikia adhabu ndogo sana ukilinganiaha na tuhuma lukuki zilizokuwa zinamkabili.
Rejea mwenendo wa kesi utapata mwanga wa hiki nikisemacho.
Jitayarishe, jitahidi sana soma mchezo.Matako Sabaya akishinda hizo Kesi mie nitabadili jinsia na kuwa Mdada[emoji1787],yule lazima achezee mvua na kazi ngumu Kisongo
Wananchi gani mnao zungumzia hapa Hai?. Kweli ukirudia maneno ya uwongo mara nyingi watu huaamini ni kweli.Maisha ni amani!
Unaweza kushinda kesi ama kuachiwa lakini wananchi wasikuachie.
Sabaya achague kupewa hukumu na serikali ama wananchi!
Wananchi si wajinga!
Wamewekewa mtego na wanaukimbilia blindly.Jitayarishe, jitahidi sana soma mchezo.
Sabaya apewe tuzo kuyafanyizia mamtu majinga kama haya ya CHADEMAWatu ambao hawajawahi kwenda mahakamani akili Hakuna kabisa! Mashahidi kutokuja mahakaman mara moja mpaka hata 5 ni kawaida sana, na hii ni kesi moja!
Huyo Hakimu wa kesi hii Mmama anayeitwa Mshasha, ni hakimu very straight, namfaham, na anajielewa sana, ni mapema sana kuwaza Kama hii kesi itakuwa rahisi!
Kwa ubaya aliofanya Sabaya, nawaambieni bado ana mda sana magereza na kifungo kisichopungua miaka 30 kama mnabisha ngojeni muone!
Sina uhakika na ukweli wa tuhuma za Sabaya Ila kwa sasa naelewa kabisa, it was a necessary evil kuhakikisha wahuni wasipate umaarufu.Sabaya apewe tuzo kuyafanyizia mamtu majinga kama haya ya CHADEMA
Nyie mtoeni muone...Wananchi gani mnao zungumzia hapa Hai?. Kweli ukirudia maneno ya uwongo mara nyingi watu huaamini ni kweli.