Umma ujiandae. Lengai Ole Sabaya anaenda kuwa huru au kutumikia kifungo laini

Usalama wa Lengai ni kifungo kirefu na kazi ngumu ili aendelee kulindwa, akichiwa huru huku raia wana hasira naye…. watamlawiti kwa zamu.
 
Alisha futwa uyo ata akiachiwa leo , zigo lake atatembea nalo MPAKA kaburini
 
Alipe bili za Hotel alizokuwa halipi kwanza.Mwizi mkubwa analala kwenye hotel anaagiza anavyotaka alipii huduma.Atulipe kwanza kama anataka vya bure angekuja tumwoe otherwise ajenge yakwake.Mwanamme mzima analala.anakula hotelini halipi.Anatuaibisha wamasai wote umri wake uko porini unaua simba.Akicheze Mungu mkubwa ,leo.ungejua Makonda angenyamaza hivyo
 
huyo amelaaniwa na kina Mama hawezi toka salama bora afie huko King'ori Gerezani
damu za watu alizimwaga sana
Your browser is not able to display this video.
 
Maisha ni amani!
Unaweza kushinda kesi ama kuachiwa lakini wananchi wasikuachie.
Sabaya achague kupewa hukumu na serikali ama wananchi!
Wananchi si wajinga!
 
Imagine Shahidi ambaye ndio wa muhimu ameanza kutoonekana Mahakamani then hapo lazima wajue kesi itapigwa mzee wa kuuza unga aachiwe kwa default judgment for a reason of kutokuwepo ushahidi wenye uzito kumtia hatiani.

Wao badala ya kusikiliza tunaoshinda mahakamani au wataalamu ili wafanyaje jamaa awekwe ndani wenyewe wapo busy kutukana tu.

What will follow baada ya Sabaya kuachiwa huru kama huyo Nyagali sijui ni kelele za CHADEMA mitandaoni. Nimekuwa mfuasi wa siasa za upinzani Ila matusi ya humu wacha tu iwe tuongee ukweli, hakuna upinzani utakaochukua hii nchi kwa upuuzi wa vijana wetu.

Mtu ukitoa independent opinion unatukanwa tu, naanza kuelewa sasa. Better the devil you know than the angel you don't know.

Wacha tutafute fursa tu, humu tutaishia kudharauliana tu. Kila mtu ashinde Vita yake.
 
Akitoka ataomba kustaafu kwa hiyari
Then analipwa mafao yake yote na anakuwa Hana record ya criminal. Wao waendelee kutukana tu. Badala ya kukaa kuuliza wanatukana as if kila mtu ni CCM
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata wabakaji na walawiti
 
Maisha ni amani!
Unaweza kushinda kesi ama kuachiwa lakini wananchi wasikuachie.
Sabaya achague kupewa hukumu na serikali ama wananchi!
Wananchi si wajinga!
Wananchi gani mnao zungumzia hapa Hai?. Kweli ukirudia maneno ya uwongo mara nyingi watu huaamini ni kweli.
 
Sabaya apewe tuzo kuyafanyizia mamtu majinga kama haya ya CHADEMA
 
Sabaya apewe tuzo kuyafanyizia mamtu majinga kama haya ya CHADEMA
Sina uhakika na ukweli wa tuhuma za Sabaya Ila kwa sasa naelewa kabisa, it was a necessary evil kuhakikisha wahuni wasipate umaarufu.

Tulipotea kwa Magu Ila Hawa wenzetu hata hawaeleweki, unajikuta unatupiwa mitusi tu hakuna mawazo mbadala ukishauri unaishia kutukanwa tu.

Hii sasa sio siasa ni chama cha kihuni sana na wasipokemea wafuasi wake wabadilike kwakweli sijui watafika wapi maana sioni watakapofika, hakuna jeshi au yeyote mwenye akili timamu ataona dira yao zaidi ya matusi na uhuni usio na toja kwa mustakabali wankuongoza takfa. Waendelee tu Ila namna hiyo hakuna chama hapo na Mbowe akistaafu mwakani watauana kwa kutukanana na chama kitakufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…