Umma ujiandae. Lengai Ole Sabaya anaenda kuwa huru au kutumikia kifungo laini

Kamfukuwe.....
 
Nyie mtoeni muone...
Utajisikiaje akitolewa na akapigwa ubalozi sijui mtamuonea wapi? Mambo mengine ni kuchezea sharubu ya Simba.

Let's play fairly, haina haja ya kujimwambafai, mwenye madaraka aliamua hakuna mtu atainua vindevu vyake vya balehe.
 
Rais aliamua aisee mambo yatabadilika na kelele hizi zitakuwa ni kucheleweshana kimaendeleo kama tulivyopotezewa muda wa miaka mitano iliyopita.

Dawa ni kutulia na kutafuta njia sahihi hii matusi na vurugu Wala haina faida tutapotezeana muda tu. Tunahitaji upinzani uipush serikali Ila sio kusumbuana halafu ionekane wasumbufu ilimradi CCM iendeleze uhuni wake.
 
ww umekua mahakama?
 
Kwahiyo kumpigilia mtu misumari kwa sababu yeyote ile ni sahihi?
 
Hata wakitisha mashahidi haiwezekani ashinde hizo kesi labda walipe madeni yote kufamilia na fidia....hapo sawa...m
 
Huyo Ngedera aliye tesa watu huko hai hata akitoka leo inatosha kwa walio umizwa naye sumu ya maumivu imewatoka na atakuwa amejifunza kuacha uhuni
Naona umeamua kujitoa mapema, hii reply ni ya kukubali kitakachotokea 😂 Ahahahaaaa...
 
Ole Sabahi atauliwa mchana kweupe,ni afadhali afungwe miaka 30 ili hasira za wa-chaga zipungue kidogo
 
Waambie pia kuna sanamu ya mwamba JPM inajengwa, wakipita wataiangalia tu...
 
Vipi adhabu ni ndogo au kubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…