Umma usipotoshwe: Swali la Pascal Mayalla kwa Magufuli halikuwa gumu na lilijibiwa ipasavyo!

Umma usipotoshwe: Swali la Pascal Mayalla kwa Magufuli halikuwa gumu na lilijibiwa ipasavyo!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Kuna utaratibu wa kihuni unataka kuwa ndio order of the day...
yaani mtu anaibuka mtandaoni na kujidai kupost au kuandaa podcast kuhadaa vijana wadogo ambao hawana historia.

Nikijikita kwenye mada ndugu Pascal mayalla aliwahi kupata fursa ya kualikwa na hatimaye kumuuliza swali Legend John Pombe Magufuli.

Soma pia Pascal Mayalla: Nilimuuliza Rais swali gumu wakanifungia kufanya kazi ya uanahabari

Swali lake lilikuwa rahisi sana kwa Magufuli japo yeye aliliona kuwa ni swali gumu.
Swali lake lilihusu nguvu ya mihimili ya serikali likilenga kuonesha mihimili hiyo ni sawa

Magufuli alimjibu kwa ustadi wa kipekee na busara ya hali ya juu....
Ufafanuzi wa Magufuli ulikuwa wazi na wenye kueleweka...yaani mihimili unaweza kuiona ipo sawa kwa juu...japo kuna muhimili uliojikita chini zaidi ya yote.....

TUWEKE KUMBUKUMBU SAWA!!
 
Ufafanuzi wa Magufuli ulikuwa wazi na wenye kueleweka...yaani mihimili unaweza kuiona ipo sawa kwa juu...japo kuna muhimili uliojikita chini zaidi ya yote.....

TUWEKE KUMBUKUMBU SAWA!!
Kama hayo mawazo ya potofu na kijinga yanaeleweka kwako basi moja kwa moja upo upande wa waniufaika!
Hufai katika harakati za ukombozi kutoka kwenye mikono ya mkoloni mweusi!
 
kilichofuata ni kipi???usije ukaleta reference ya Pascal mayalla ....yaani kabuni kisa cha uongo ili kujijengea umaarufu.
Wewe na mayala tumwamini nani?
Ulianza kumfahamu lini mayala?
Akwa taarifa Yako mayalla alikuwa maarufu kabla ya huyo magufuli wako aliyekufa kibudu mzena
Yani mayala atafute umaarufu Leo wakati anazeeka?
 
Sasa siuweke hiyo clip hapa! Wengine hatukuwepo wakati wanaulizana.
 
Back
Top Bottom