kilichofuata ni kipi???usije ukaleta reference ya Pascal mayalla ....yaani kabuni kisa cha uongo ili kujijengea umaarufu.Magufuli alianza kwa kusema "mayala" kwao ni njaa kitu ambacho kilionesha kukerwa na swali la Mayalla. Pia kilichofuata kwa Mayalla kiko wazi.
Kama hayo mawazo ya potofu na kijinga yanaeleweka kwako basi moja kwa moja upo upande wa waniufaika!Ufafanuzi wa Magufuli ulikuwa wazi na wenye kueleweka...yaani mihimili unaweza kuiona ipo sawa kwa juu...japo kuna muhimili uliojikita chini zaidi ya yote.....
TUWEKE KUMBUKUMBU SAWA!!
sijawahi kushiriki harakati zenye agenda ya ulaghai nyuma yakeKama hayo mawazo ya potofu na kijinga yanaeleweka kwako basi moja kwa moja upo upande wa waniufaika!
Hufai katika harakati za ukombozi kutoka kwenye mikono ya mkoloni mweusi!
Wewe na mayala tumwamini nani?kilichofuata ni kipi???usije ukaleta reference ya Pascal mayalla ....yaani kabuni kisa cha uongo ili kujijengea umaarufu.