Pre GE2025 Umma wa watanzania hasa VIONGOZI wa DINI, kemeeni Rushwa ya waziwazi ya Pikipiki za Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
1. Nimewasikia mkijinadi kukemea maadili kwenye Idd Al Adha, . Kumomonyoka kwa maadili si ushoga na ngono. and the like

2. Wizi, Rushwa , ukatili , uongo na vitu kama hivyo ni mmomonyoko wa maadili tena mkubwa

3. Samia anagawa pikipiki za rushwa ya wazi hammkemei, halafu mnasema nyie ni viongozi wa dini. Kemeeni rushwa hii ya wazi wazi!

img_20240609_213943-jpg.3013272

20240609_214838-jpg.3013277
Pia soma:
 
Wakati wa kula tulifunzwa tusipende kuongea ongea. Ma askofu wengi saivi wanalamba asali ya Samia, nguvu ya kuongea wanapata wapi na meanwhile kwenye payroll wapo.
 
1. Nimewasikia mkijinadi kukemea maadili kwenye Idd Al Adha, . Kumomonyoka kwa maadili si ushoga na ngono. and the like

2. Wizi, Rushwa , ukatili , uongo na vitu kama hivyo ni mmomonyoko wa maadili tena mkubwa

3. Samia anagawa pikipiki za rushwa ya wazi hammkemei, halafu mnasema nyie ni viongozi wa dini. Kemeeni rushwa hii ya wazi wazi!
Bado unawaamini wanasiasa?
 
1. Nimewasikia mkijinadi kukemea maadili kwenye Idd Al Adha, . Kumomonyoka kwa maadili si ushoga na ngono. and the like

2. Wizi, Rushwa , ukatili , uongo na vitu kama hivyo ni mmomonyoko wa maadili tena mkubwa

3. Samia anagawa pikipiki za rushwa ya wazi hammkemei, halafu mnasema nyie ni viongozi wa dini. Kemeeni rushwa hii ya wazi wazi!

img_20240609_213943-jpg.3013272

20240609_214838-jpg.3013277
Pia soma:
Huu ni upotevu mkubwa wa fedha za Umma anafanya huyu mama.
 
1. Nimewasikia mkijinadi kukemea maadili kwenye Idd Al Adha, . Kumomonyoka kwa maadili si ushoga na ngono. and the like

2. Wizi, Rushwa , ukatili , uongo na vitu kama hivyo ni mmomonyoko wa maadili tena mkubwa

3. Samia anagawa pikipiki za rushwa ya wazi hammkemei, halafu mnasema nyie ni viongozi wa dini. Kemeeni rushwa hii ya wazi wazi!

img_20240609_213943-jpg.3013272

20240609_214838-jpg.3013277
Pia soma:
Piki piki kwa viongozi wa ccm au wapiga kura wakati mwingine lissu akisema hebu shirikisha ubongo wako sio unameza tu makamasi yake ukitoka hapo umevimbiwa!
 
1. Nimewasikia mkijinadi kukemea maadili kwenye Idd Al Adha, . Kumomonyoka kwa maadili si ushoga na ngono. and the like

2. Wizi, Rushwa , ukatili , uongo na vitu kama hivyo ni mmomonyoko wa maadili tena mkubwa

3. Samia anagawa pikipiki za rushwa ya wazi hammkemei, halafu mnasema nyie ni viongozi wa dini. Kemeeni rushwa hii ya wazi wazi!

img_20240609_213943-jpg.3013272

20240609_214838-jpg.3013277
Pia soma:
Labda uanze kwa kutupeleka wote Kenya tukajifunze jinsi ya kujitetea ili tupate haki zetu.
 
1. Nimewasikia mkijinadi kukemea maadili kwenye Idd Al Adha, . Kumomonyoka kwa maadili si ushoga na ngono. and the like

2. Wizi, Rushwa , ukatili , uongo na vitu kama hivyo ni mmomonyoko wa maadili tena mkubwa

3. Samia anagawa pikipiki za rushwa ya wazi hammkemei, halafu mnasema nyie ni viongozi wa dini. Kemeeni rushwa hii ya wazi wazi!

img_20240609_213943-jpg.3013272

20240609_214838-jpg.3013277
Pia soma:
Tangu lini Pikipiki zikawa Rushwa?

Ila Chopa za Mbowe zinazotumia mabilioni sio Rushwa si ndio? 🤣🤣

Bado utaweweseka sana,unaleta maneno mwenzio vitendo
 
Chopa ya Mbowe 'imegaiwa' kwa wapiga kura?!
Unafananisha kinyesi na keki!.
 
Back
Top Bottom