ramadhanramadhan
New Member
- May 2, 2024
- 1
- 0
Umma utafanikiwa pengine ukapiga hatua kama utatambua thamani ya kuwapa madaraka watu wa miongoni mwao, wenye uwezo yakinifu, waliojawa na imani ya chachu ya kutaka mabadiliko na wakatambua umuhimu wa wao kuaminika na umma huo, wakaitambua imani hio kuwa ni dhima kwao, wakatambua umuhumu wa kuitekeleza pamoja na kuitenda dhima hio.
Upvote
0