SoC04 Umma wenye kuthubutu!

SoC04 Umma wenye kuthubutu!

Tanzania Tuitakayo competition threads

ramadhanramadhan

New Member
Joined
May 2, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Umma utafanikiwa pengine ukapiga hatua kama utatambua thamani ya kuwapa madaraka watu wa miongoni mwao, wenye uwezo yakinifu, waliojawa na imani ya chachu ya kutaka mabadiliko na wakatambua umuhimu wa wao kuaminika na umma huo, wakaitambua imani hio kuwa ni dhima kwao, wakatambua umuhumu wa kuitekeleza pamoja na kuitenda dhima hio.
 
Upvote 0
Umetupatia 'summary' tunaisubiri insha yenyewe sasa chief.

...Kuwapa madaraka wenye uwezo yakinifu...
Ninaamini zaidi kwenye watu kuwajibika kwa madaraka waliyopewa. Maana tuliowapa madaraka ninaamini wanao uwezo husika. Sema imebaki tu kwenye kutimiza wajibu wa madaraka hayo. Bhaaaas
 
Back
Top Bottom