Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia et ni mzenji,ni kwel?
Watu wengi wanaposikiliza matangazo ya redio ya mchana kupitia idhaa ya kiswahili ya DW hupata tabu na kujiuliza mwenye sauti hiyo ya base anafananaje? Leo nimewaleteeni picha yake mumtambue
Anajua sana huyu bi mkubwa......[/QUOT
kwani we unajua kidogo?
Anajua sana huyu bi mkubwa......[/QUOT
kwani we unajua kidogo?
Kua reasonable mkuu, namaanisha anafanya vizuri katika kazi yake hiyo
Huyu mama nilimsikia nikiwa bado sekondari miaka ya 80. Niliwahi sikia ni mtu wa Ngazija, nashangaa kusikia ni mtu wa Zanzibar tena sasa!Watu wengi wanaposikiliza matangazo ya redio ya mchana kupitia idhaa ya kiswahili ya DW hupata tabu na kujiuliza mwenye sauti hiyo ya base anafananaje? Leo nimewaleteeni picha yake mumtambue