Ummy Mwalimu acha kuwahadaa Watanzania wewe sio mwadilifu

Ummy Mwalimu acha kuwahadaa Watanzania wewe sio mwadilifu

Huyu dada enzi zile tunaenda Korogwe Girls au wao wanakuja Tanga School kwa ajili ya "welcome na goodbye" form 1/form 5 na form 4/form 6, alikuwa humble, mkimya na mkweli.
Kweli walisema pata hela/madaraka tujue tabia yako halisi.
 
Huyu dada enzi zile tunaenda Korogwe Girls au wao wanakuja Tanga School kwa ajili ya "welcome na goodbye" form 1/form 5 na form 4/form 6, alikuwa humble, mkimya na mkweli.
Kweli walisema pata hela/madaraka tujue tabia yako halisi.
Hana jipya huyo anacheza na fursa. Anajua unyamwezi wa mkurugenzi aliyeondolewa. Walinyooshwa mno
 
Mh. Rais ajue kwamba Ummy ni miongoni mwa mawaziri wanaoifikiria zaidi 2025 na inawezekana anasuka safu yake Tanga jiji

Kama ni hivi basi Urais utakuwa kazi ya ajabu sana..kama naye anauwaza kabisa...

Ngoja namimi nitoke huku Yemen nije kujipanga na 2025...maana Urais umekuwa Urahisi..
 
Kama ni hivi basi Urais utakuwa kazi ya ajabu sana..kama naye anauwaza kabisa...

Ngoja namimi nitoke huku Yemen nije kujipanga na 2025...maana Urais umekuwa Urahisi..
Hakuna niliposema Ummy anautaka urais. Ubunge unamshinda kutwa kucha mitandaoni urais ataupata wapi.
Ila chama chake kikiamua kinampa maana maajabu hayaishi
 
Kila waziri anahaha baada ya kupata fununu kuhusu FAGIO, mwenye uhakika na nafasi yake mpka sasa ni waziri wa afya tu... wengine wote matumbo joto


Yupi huyo au yule anayechanganya wananchi kwa kile alichokisema na kukiamini wakati wa JPM na sasa kukimbia kivuli chake mwenyewe kwa kusema chanjo zinafaa?

Itashangaza zaidi.
 
Yupi huyo au yule anayechanganya wananchi kwa kile alichokisema na kukiamini wakati wa JPM na sasa kukimbia kivuli chake mwenyewe kwa kusema chanjo zinafaa?

Itashangaza zaidi.
Ummy anakazi ya kuposti mitandaoni eti Rais imara,huyo dhaifu ni nani?
Mbona wanamuona mama nimweoesi kama unyoya?
Mtu mzima hasifiwisifiwi bwana ikizidi ni kama kejeli
 
Taarifa niyakweli.
Ofisi ya afisa elimu inanuka rushwa na ubadhirifu.
Ofisi inawatu wamelundikana haijulikani afisa elimu taaluma hasa ni nani sasa haitoshi Ummy au TAMISEMI wanapeleka afisa elimu taaluma mwingine.

Ninarudia tena kusema kuna jamaa anaitwa Mgombera yupo kwenye ofisi ya afisa elimu naalikuja nae kutoka Muheza.
Je kazi ya Mgombera ni nini na anakaa na afisa elimu kama nani pale ofisini?
Je Muheza haina upungufu wa walimu hadi huyo bwana amfuate afisa elimu Tanga jiji?
Je Tanga haina shida ya walimu tena mpaka wakalundikwe kwenye ofisi ya afisa elimu?
Ummy wacha fix,Tanga jiji pameoza wizara imekushinda
Huyo afisa elimu Tanga jiji alikua anashinda ofisini na madam mmoja hivi ambaye aliiba fedha za umma na akasimanishwa kazi kwa shinikizo la TAKUKURU.
Hatahivyo wapambanaji walitoa taarifa lishangazi hilo likafukuzwa kwenye ofisi ya afisa elimu sekondari Tanga jiji.
Mnyaki haelewi akimuona yule bidada tena mke wa mtumishi mwenzake. Tanga ina mambo
 
Jana kupitia vyombo vya habari waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu amewataka wakurugenzi kufanya alichokiita msawazo wa watumishi katika halmashauri zao akilenga zaidi kwa walimu.

Amedai kwamba katika halmashauri nyingine sio kwamba walimu hawatoshi bali tatizo ni watumishi kulundikwa sehemu moja kwa wingi na kwingine ndani ya halmashauri hiyohiyo hakuna nguvukazi ya kutosha.

Ninamwambia Ummy aache kuwahadaa watanzania akiwafanya ni mazuzu yasiyoona. Mfano mzuri nikatika halmashauri yake ya Tanga jiji ambapo ndani ya ofisi ya Afisa elimu sekondari kuna kiini macho. Wapo maafisa elimu taaluma watatu na jamaa mmoja ambaye alikuja na afisa elimu sekondari kutoka huko aliko kua.

Mtu huyo aliyekuja na afisa elimu hajulikani kama anacheo gani kwenye hiyo ofisi. Je wale waliojazana pale sio walimu? Je wanafanya kazi gani pale zaidi ya majungu pale ofisini?

Kwataarifa yako Ummy nikwamba huyo jamaa aliyehama na huyo afisa elimu ndio anatumwa na afisa elimu huyo kwenda kuchukua bahasha za chochote kitu kwa wakuu wa shule. Pamoja na afisa elimu taaluma mmoja pale ambae naye anatumwa kukusanya posho kutoka kwa wakuu wa shule.

Pamoja na kuwapo kwa maafisa elimu taaluma wawili haitoshi Ummy kamuweka rafiki na kada mwenzake akawe afisa elimu taaluma ndani ya ofisi hiyo hivyo kuna maafisa elimu taaluma watatu kwenye ofisi moja. Je huo msawazo kwanini usianzie maofisini? Ummy ameamua kulipa fadhila kupitia ofisi ya umma hata kama hakuna uhitaji. Je wewe Ummy huo ndio msawazo au mvurugo?

Ummy unaiharibu Tanga kwakulea marafiki zako huku ukitaka watanzania watende haki.Nakuuliza je wewe kama haki huiwezi utawashurutisha vipi wenzako watende haki?

Kaondoe yule rafiki yako kwenye ofisi ya afisa elimu sekondari ambaye alikua mkuu wa shule ya sekondari Toledo kisha ndio utangaze msawazo.

Ukiongea uongo utakumbushwa. Ummy badilika ofisi ya umma sio kijiwe cha kubwabwaja pasipo kumaanisha. Tenda kwa usahihi ndio uwaongoze wengine kutenda kwa usahihi
Oyoooo Ummy ameondolewa TAMISEMI ngoja tuone hiyo timu yake aliyokua anaisuka itajipanga vizuri au itavurugika.
Hao wala rushwa wake wameanza kutia huruma
Mh. Rais amefanya vizuri kuondoa hilo dudu TAMISEMI
 
Uchaguzi uliopita kamwaga sana pesa Tanga jiji kila sehemu ilikuwa Odo Odo odo sasa hapo unategemea uchapakazi zaidi ya yeye kurudisha pesa yake aliyotoa rushwa kwa wananchi?
 
Sas hapo kakosea nini? Waziri katoa Muongozo wa kisera mwenye wajibu wa kuhakikisha linafanyiwa Kazi ni Katibu Mkuu.

Pili hayo malalamiko yako peleka kwa DED ukishindwa yupo RAS.
Kila mbaya lazima awe na watetez na kila mzuri lazima awe na mbaya wake, umeonyesha hisia zako
 
Huyu amshukuru Hayati JPM mpaka kupata Ubunge wa kuchaguliwa, na nitashangaa sana watu wa Tanga wakimrudisha Bungeni tena shambenga mkubwa wa kiswahili huyu.
 
Back
Top Bottom