Ummy Mwalimu acha kuwahadaa Watanzania wewe sio mwadilifu

Huyu dada enzi zile tunaenda Korogwe Girls au wao wanakuja Tanga School kwa ajili ya "welcome na goodbye" form 1/form 5 na form 4/form 6, alikuwa humble, mkimya na mkweli.
Kweli walisema pata hela/madaraka tujue tabia yako halisi.
 
Hana jipya huyo anacheza na fursa. Anajua unyamwezi wa mkurugenzi aliyeondolewa. Walinyooshwa mno
 
Mh. Rais ajue kwamba Ummy ni miongoni mwa mawaziri wanaoifikiria zaidi 2025 na inawezekana anasuka safu yake Tanga jiji

Kama ni hivi basi Urais utakuwa kazi ya ajabu sana..kama naye anauwaza kabisa...

Ngoja namimi nitoke huku Yemen nije kujipanga na 2025...maana Urais umekuwa Urahisi..
 
Kama ni hivi basi Urais utakuwa kazi ya ajabu sana..kama naye anauwaza kabisa...

Ngoja namimi nitoke huku Yemen nije kujipanga na 2025...maana Urais umekuwa Urahisi..
Hakuna niliposema Ummy anautaka urais. Ubunge unamshinda kutwa kucha mitandaoni urais ataupata wapi.
Ila chama chake kikiamua kinampa maana maajabu hayaishi
 
Kila waziri anahaha baada ya kupata fununu kuhusu FAGIO, mwenye uhakika na nafasi yake mpka sasa ni waziri wa afya tu... wengine wote matumbo joto


Yupi huyo au yule anayechanganya wananchi kwa kile alichokisema na kukiamini wakati wa JPM na sasa kukimbia kivuli chake mwenyewe kwa kusema chanjo zinafaa?

Itashangaza zaidi.
 
Yupi huyo au yule anayechanganya wananchi kwa kile alichokisema na kukiamini wakati wa JPM na sasa kukimbia kivuli chake mwenyewe kwa kusema chanjo zinafaa?

Itashangaza zaidi.
Ummy anakazi ya kuposti mitandaoni eti Rais imara,huyo dhaifu ni nani?
Mbona wanamuona mama nimweoesi kama unyoya?
Mtu mzima hasifiwisifiwi bwana ikizidi ni kama kejeli
 
Huyo afisa elimu Tanga jiji alikua anashinda ofisini na madam mmoja hivi ambaye aliiba fedha za umma na akasimanishwa kazi kwa shinikizo la TAKUKURU.
Hatahivyo wapambanaji walitoa taarifa lishangazi hilo likafukuzwa kwenye ofisi ya afisa elimu sekondari Tanga jiji.
Mnyaki haelewi akimuona yule bidada tena mke wa mtumishi mwenzake. Tanga ina mambo
 
Oyoooo Ummy ameondolewa TAMISEMI ngoja tuone hiyo timu yake aliyokua anaisuka itajipanga vizuri au itavurugika.
Hao wala rushwa wake wameanza kutia huruma
Mh. Rais amefanya vizuri kuondoa hilo dudu TAMISEMI
 
Uchaguzi uliopita kamwaga sana pesa Tanga jiji kila sehemu ilikuwa Odo Odo odo sasa hapo unategemea uchapakazi zaidi ya yeye kurudisha pesa yake aliyotoa rushwa kwa wananchi?
 
Sas hapo kakosea nini? Waziri katoa Muongozo wa kisera mwenye wajibu wa kuhakikisha linafanyiwa Kazi ni Katibu Mkuu.

Pili hayo malalamiko yako peleka kwa DED ukishindwa yupo RAS.
Kila mbaya lazima awe na watetez na kila mzuri lazima awe na mbaya wake, umeonyesha hisia zako
 
Huyu amshukuru Hayati JPM mpaka kupata Ubunge wa kuchaguliwa, na nitashangaa sana watu wa Tanga wakimrudisha Bungeni tena shambenga mkubwa wa kiswahili huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…