Ummy Mwalimu ameamua kumnanga Job Ndugai huko twitter

Ummy Mwalimu ameamua kumnanga Job Ndugai huko twitter

Syo Ummy tu. Hata wabunge ambao syo mawaziri nao tangu morning wanapost tu si unajua mkeka upo njiani
 
Kwa waswahili wanapende vijembe sana ni tabia ya wengi mpaka juu

Haya mambo hayapigwi stop bali zina baraka
 
Nimemuelewa sana Mzee wa Jalalani.
Anajua fika alikua upande wa Jembe awamu iliyopita, ameshindwa kuwa mnafiki kupondea awamu iliyopita au kujikomba kwa hii, amechagua kukaa kimya. Busara na hekima ya hali ya juu.

Lakini tukija kwenye afya na fedha, tumepigwa. Hao watu hawafai...of course hata akina kigwa, Kamba na Mzee wa mtama ni wale wale tu.
Nani anataka kurudi jalalani?
 
Anatetea ugali wake asisahaulike in the next cabinet reshuffle (if any)!
Ule msemo wetu "Usimwamini mwanasiasa, akikwambia toka nje kuna giza jiongeze mwenyewe uende ukahakikishe kweli kuna giza" unazidi kupata nguvu.
 
Hii ndio Tanzania mpaaka inakera. Eti hawa ndio mawaziri wetu. Kujikomba ndio iwe kawaida kwao
 
Hii ndio Tanzania mpaaka inakera. Eti hawa ndio mawaziri wetu. Kujikomba ndio iwe kawaida kwao
Mkuu unadhani ikitokea tukapata katiba nyingine nzuri kwa safari kama hii unadhani kutakuwepo utii wa sheria na katiba ya nchi?.
 
Mkuu unadhani ikitokea tukapata katiba nyingine nzuri kwa safari kama hii unadhani kutakuwepo utii wa sheria na katiba ya nchi?.
Huo sio utii mkuu. Ni kujipendekeza tu. Utii ni kama katiba ikisema usiiue na usiue huo ndio utii. Lakini hii ya kumsifia kila siku rais,kidogo tu ameinuka huyu anamsifia tu. Huo ni uoga na wengine ni kutafuta teuzi.

Ona mawaziri waliokuwa wanamsifu na kumuabudu mwendezake. Ameondoka tu wamegeuka wanamponda. Ujue walikuwa wanasifu tu kiuoga kulinda matumbo yao,lakini si kwa kile wanachokiamini
 
So unadhani ikitokea tukapata katiba nyingine nzuri kwa safari kama hii unadhani itasaidia viongozi kusimama nayo kidete?.
 
Yaani ni mwendo wa kulambana miguu kama enzi za chifu mangungo na wajerumani
 
Huyu Ummy kwanza simuelewi wala nn, ni kama Ndalichako tu
 
Ndiye huyo huyo. Alikuwa anasoma sheria.
Kwa hiyo Mkuu unaniambia Mh.alikuwa mdokozi,nakumbuka siku hiyo nilikuta varangati wadada wamedokoa chocolate...aisee ikikuwa aibu ya mwaka !
Ingekuwa siku hizi za Smart Phone ...wangejikuta kwenye mitandao!
 
Ninaye hapa TAMISEMI. Bado hajaacha. Ofisini vitu vidogo vidogo vinapotea sana!

Back
Top Bottom