The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini, Mheshimiwa Ummy Mwalimu, amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan imetoa kiasi cha shilingi bilioni 10 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa barabara ya Tanga–Pangani.
Mheshimiwa Ummy aliyasema hayo wakati wa mahojiano maalum katika kipindi cha Amka na TK, ambapo alibainisha kuwa kukamilika kwa barabara hiyo kutakuwa na matokeo chanya kwa wakazi wa Tanga, hususan katika sekta ya utalii.
Soma pia: Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze