Ummy Mwalimu: Hospitali maalum ya watoto inayoitwa Rainbow kujengwa Tanzania

Sijui watapandikiza vitu gani kwa siri kwa hao watoto wetu, ipo siku tutakumbuka shuka kukiwa kumekucha
 
Sipati picha kama hiyo hospital ingehusika na nchi yoyote ya kiarabu, tungeshuhudia waraka mwingine......
 
Hawa watu wanajielewa kweli? Rainbow ndio mdudu gani
Tuondoleeni laana zenu ninyi watawala
 


Tatizo kila kitu Dar badala ya kuziwezesha Bugando na KCMC
 
Wewe usijifanye uelewi watu wanasema nini hata hao wafiraji na wafirwaji tunajua wameumbwa na Mungu kwa hiyo bado sio sababu ya kutumia jina hilo …hakuna ulazima!

Hii hospitali itakosa wateja lazima serikali ichukue hatua!
Itakosa wateja wasiojielewa kama wewe, hospitali imeanzishwa tangu 1887 kabla hata huo upumbavu wenu haujashamiri, na wanatumia jina hilo kwa zaidi ya Miaka 100
 
Ile nyingine ya MLOGAnzila ni vyema wakaibadili jina. Aidha iitwe Edward Lowassa au MKP Pinda.
Hilcho kipande cha jina MLOGA, kina negative connotation kiroho na zinaweza kuwa ziko pronounced pasipo sisi wenyewe kugundua hilo, na pengine ndiyo maana hospitali hiyo imekuwa ikilalalmikiwa kwa matukio ya vifo vingi

Naomba Viongozi wa Serikali wawashirikishe watumishi maarufu wa kirho katika kujaribu ku-confirm hili
 
Rainbow ndilo wameona kuwa jina zuri???????????????? kwahiyo itapakwa rangi za upinde wa mvua????????
Wameshapokea Pesa Za Wahisani Hawana Ujanja Jina Ndiyo La Hovyo Hovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…