Ummy Mwalimu, karibu tena Sekta ya Afya. Ukifika Bohari ya Dawa MSD tupia jicho pia kwenye haya...

Waziri huwa ni bosi wa wizara na ni sehemu ya think tank ya wizara, Wizara ina organs zake ambazo zinawatu waliosoma na wameajiriwa kwa kila kazi ili kwa pamoja kumsaidia waziri kwenda mbele... Maamuzi haya inamaanisha watu wote wamefikiri na kufikia mwisho na kutoa hayo maamuzi...

Hayo ni maamuzi ya Kijinga na sio mzizi wa hilo Tatizo...wafikiri upya kupata majibu sahihi ya tatizo...ili utatue tatizo lazima uende kwenye mzee baada ya research ya uhakika na data za uhakika..
 
4. Huyu afande amekuwa na tabia ya kuwahamishahamisha watumishi aliowakuta kwa kutumia uchochoro wa Management ya Utumishi wa Umma na kuwaweka watu wake kienyeji ambao wameshindwa kuleta tija kwa shirika, wamekuwa hawacope na shughuli ya taasisi.

My Take: unalalamika kwa kuwa kapunguza urefu wa kamba kwa kile mkichokuwa mnaiba. Nyie ndio mliiaibisha sana hii taasisi kwa ufisadi uliokithiri. Acha mnyooshwe kwanza.
 
Kama hujui sababu usiseme tu kisa Makambako ni Tanzania, ni sawa na wale wanaotetea Uwanja wa ndege wa Chato kisa tu Chato ni Tanzania.

Sababu za kujengwa hichi kiwanda idofi makambako sababu zilisha take pia sababu nyingine Ni kuwa jilana na soko lao wanalo Target kuziuzia dawa nchi za SADC na kwa nyanda za juu kusini makambako ndo katikati hawajawekeza kiwanda hicho tu ku eneo limelipwa kwaajili ya ujenzi wa soko la kimataifa nalo likilenga nchi za SADC ko nao msd lazima waangalie soko liko wapi wanalo lilenga na Hadi Sasa wameongeza eneo zaidi kwa kulipa fidia wana ekari 30 na point ko mtoa post fanya utafiti kidogo na ujenz bado unaendelea
 
Mkuu hivi ni biashara gani iliwahi kufanya na Serikali hapa nchini ikawa na faida?
 
Huu ni uchuro tu unaofanyika hapo Makambako. Kwa nini hiyo factory kisingejengwa kwenye kiwanja mlichopewa na Waziri William Lukuvi. Kiwanja cha Kibaha ndiyo logistically Kiko pazuri na commercially pia. Hivi haya yanayofanyika yako supported na Feasibility study report kweli?

Nahofu hii itakuwa na mbuga ya Chato Burigi
 
Kwani maeneo mengine ya Tanzania sio sehemu ya SADC?? why Njombe tu? mbona MSD ina maeneo na makubwa tu ambayo hayakutakiwa kulipiwa chochote badala ya kulipa fidia! hayo ni matumizi mabaya ya fedha za Watanzania.

MSD ina maeneo makubwa sehem u za Mwanza, Manyara, Mbeya n.k. Kama ni issue ya baridi basi kingejengwa Arusha au hata Mbeya ambako tayali Ardhi ya MSD ipo badala ya kuingia gharama za compensation!

Halafu hivi kuna Valuation report yoyote ya kitaalamu iliyofanyika kabla ya kulipa hiyo compensation ili kuona kama kuna value for money!

Pamoja na kwamba suala la viwanda sio core activity ya MSD, lakini kingeweza kujengwa eneo lolote lile la TZ given the improved road inftustructure we have currently na sio Iringa!
 

Jambo hili lisikutese kichwa kumbuka pia Ni ahadi ya chama na soon kinazinduliwa na suala la barabara kipo jilan kabisa na tazam high way ambayo Ina link na nchi za SADC
 
Hivi hizi habari Hawa viongozi wetu wanazisomaga kweli?hivi ata TISS ..?
 
Naona Majaliwa alipita humu humu kwenye thread hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…