Egnecious
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 880
- 971
Kila la Heri Team langu la nyumbani, Coastal Union, Wagosi wa Kaya ktk Mchezo wenu wa leo na Polisi Tanzania! Nitoe hamasa kwa wapenzi wa Coastal na wadau wa Mkoa wa Tanga mliopo Moshi kujitokeza kwa wingi ktk Uwanja wa Ushirika Moshi kuishangilia Timu yetu. Coastal Union Mbele kwa Mbele hadi Premier League 2018/19![emoji123][emoji123][emoji123]