Uchaguzi 2020 Ummy Mwalimu ni Iron Lady, anaikamata Tanga peke yake...

Huyo bidada ajiandae, atakuwa shahidi muhimu katika kesi ya kumnyima hela ya matibabu Rais Lissu.
 
Kusalimia
Acha Kupotosha Upepo Ama Hali Siyo Shwari
Ukiona Kofia Imelowa Jasho Ujue Msuli Hautamaniki
 
Wamama waliopita kwenye majimbo yao mpaka sasa ni Ummy Mwalimu,Dr Tulia Ackson.Salma Kikwete.
 
Nilienda tanga mwezi wa pili nilikuta jimbo lishaiva watu wana mkubali sana huyu dada alafu anaonekana sio mtu wa kujikweza na wengi nazani wamemuona akikua so wanamchukulia kama mtoto wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…