GE2025 Ummy Mwalimu: Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kwa moyo wa shukrani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Na Ummy Mwalimu kutoka kwenye ukurasa wake mtandao wa Instagram

Alhamdulillah ala kulli hal. Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kwa moyo wa shukrani. Quran Tukufu inatufundisha kuwa Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH.
----
Ndugu zangu wanaTanga Mjini,

Nitumie fursa hii kuwashukuru kwa kuniamini kuwa Mbunge wenu kwa kipindi cha miaka 5 (2020 - 2025). Nafurahi kuona kuwa utumishi wangu kwenu umewagusa wengi na umeacha alama kubwa za kimaendeleo katika Jimbo letu. Asanteni kwa ushirikiano mzuri mlionipatia ktk kipindi chote cha Utumishi wangu.

Kwa dhati ya moyo wangu, ninawashukuru wajumbe wa Mkutano Mkuu maalum wa CCM Wilaya ya Tanga kwa kunipa kura nyingi ktk mchakato wa kura za maoni za kutafuta mgombea ubunge wa CCM katika Jimbo letu Tanga Mjini kwa kipindi cha 2025 - 2030. Mlinikopesha imani kubwa sana. Nitaienzi na kuithamini imani hii daima.

UAMUZI wa vikao vya Chama ni lazima UHESHIMIWE. Nampongeza Ndugu Kassim Amar Mbaraka (Makubel) kwa kuteuliwa kupeperusha bendera ya CCM Tanga Mjini. Ninawaomba wanakimji wenzangu hususani wanaCCM tumpokee na tumpe ushirikiano ili kuhakikisha ushindi wa kishindo kwa Rais Dkt Samia, Mbunge Kassim Makubel na Madiwani katika kata zote 27 za Jimbo la Tanga Mjini

Mwisho, ninawashukuru wote kwa salaam za heri, sala na dua zenu kwangu. Nimeuona upendo wenu wa dhati kabisa kwangu. Asanteni sana. Allah ni Mkarimu.

Ndugu yenu,
Ummy Mwalimu
 
UMMY USIWE MNAFIKI, UNASHUKURU KUONEWA? STOP THAT HYPOCRISY!
 
Mbona ntiti sasa!
IMG-20250824-WA0007.jpg
 
Kwa dhati ya moyo wangu, ninawashukuru wajumbe wa Mkutano Mkuu maalum wa CCM Wilaya ya Tanga kwa kunipa kura nyingi ktk mchakato wa kura za maoni
 
Kuna video wana Tanga wamesema wanarudisha kadii kisa mama yao mpendwa hakupita
 
Na Ummy Mwalimu kutoka kwenye ukurasa wake mtandao wa Instagram

Alhamdulillah ala kulli hal. Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kwa moyo wa shukrani. Quran Tukufu inatufundisha kuwa Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH.
----
Ndugu zangu wanaTanga Mjini,

Nitumie fursa hii kuwashukuru kwa kuniamini kuwa Mbunge wenu kwa kipindi cha miaka 5 (2020 - 2025). Nafurahi kuona kuwa utumishi wangu kwenu umewagusa wengi na umeacha alama kubwa za kimaendeleo katika Jimbo letu. Asanteni kwa ushirikiano mzuri mlionipatia ktk kipindi chote cha Utumishi wangu.

Kwa dhati ya moyo wangu, ninawashukuru wajumbe wa Mkutano Mkuu maalum wa CCM Wilaya ya Tanga kwa kunipa kura nyingi ktk mchakato wa kura za maoni za kutafuta mgombea ubunge wa CCM katika Jimbo letu Tanga Mjini kwa kipindi cha 2025 - 2030. Mlinikopesha imani kubwa sana. Nitaienzi na kuithamini imani hii daima.

UAMUZI wa vikao vya Chama ni lazima UHESHIMIWE. Nampongeza Ndugu Kassim Amar Mbaraka (Makubel) kwa kuteuliwa kupeperusha bendera ya CCM Tanga Mjini. Ninawaomba wanakimji wenzangu hususani wanaCCM tumpokee na tumpe ushirikiano ili kuhakikisha ushindi wa kishindo kwa Rais Dkt Samia, Mbunge Kassim Makubel na Madiwani katika kata zote 27 za Jimbo la Tanga Mjini

Mwisho, ninawashukuru wote kwa salaam za heri, sala na dua zenu kwangu. Nimeuona upendo wenu wa dhati kabisa kwangu. Asanteni sana. Allah ni Mkarimu.

Ndugu yenu,
Ummy Mwalimu
Hamna mtu wa hivyo alichoongea ni kinyume chake
 
usipokuwa mnafiki kwenye siasa hutoboi.Hata Hamis Kigwagwala kafanya hayo hayo. Ila hayo majimbo ndiyo zawadi ya akina Chaumma na Act.
 
Na Ummy Mwalimu kutoka kwenye ukurasa wake mtandao wa Instagram

Alhamdulillah ala kulli hal. Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kwa moyo wa shukrani. Quran Tukufu inatufundisha kuwa Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH.
----
Ndugu zangu wanaTanga Mjini,

Nitumie fursa hii kuwashukuru kwa kuniamini kuwa Mbunge wenu kwa kipindi cha miaka 5 (2020 - 2025). Nafurahi kuona kuwa utumishi wangu kwenu umewagusa wengi na umeacha alama kubwa za kimaendeleo katika Jimbo letu. Asanteni kwa ushirikiano mzuri mlionipatia ktk kipindi chote cha Utumishi wangu.

Kwa dhati ya moyo wangu, ninawashukuru wajumbe wa Mkutano Mkuu maalum wa CCM Wilaya ya Tanga kwa kunipa kura nyingi ktk mchakato wa kura za maoni za kutafuta mgombea ubunge wa CCM katika Jimbo letu Tanga Mjini kwa kipindi cha 2025 - 2030. Mlinikopesha imani kubwa sana. Nitaienzi na kuithamini imani hii daima.

UAMUZI wa vikao vya Chama ni lazima UHESHIMIWE. Nampongeza Ndugu Kassim Amar Mbaraka (Makubel) kwa kuteuliwa kupeperusha bendera ya CCM Tanga Mjini. Ninawaomba wanakimji wenzangu hususani wanaCCM tumpokee na tumpe ushirikiano ili kuhakikisha ushindi wa kishindo kwa Rais Dkt Samia, Mbunge Kassim Makubel na Madiwani katika kata zote 27 za Jimbo la Tanga Mjini

Mwisho, ninawashukuru wote kwa salaam za heri, sala na dua zenu kwangu. Nimeuona upendo wenu wa dhati kabisa kwangu. Asanteni sana. Allah ni Mkarimu.

Ndugu yenu,
Ummy Mwalimu
Tulia tu Ummy Wala haukuumbwa ndo wewe tu Kila term utakuwa Mbunge...ccm ni lichama kubwa sana aise afu Lina watu wengi sana...Sasa mpaka unakatwa ujue ccm Ina reserve kubwa ya watu na wewe ukuumbwa na Mungu kuwa mbunge milele.
Vita pumzi tulia shughuli zipo nyingi sana pale Lumumba.
 
Back
Top Bottom