The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
UMMY USIWE MNAFIKI, UNASHUKURU KUONEWA? STOP THAT HYPOCRISY!Na Ummy Mwalimu kutoka kwenye ukurasa wake mtandao wa Instagram
Alhamdulillah ala kulli hal. Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kwa moyo wa shukrani. Quran Tukufu inatufundisha kuwa Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH.
----
Ndugu zangu wanaTanga Mjini,
Nitumie fursa hii kuwashukuru kwa kuniamini kuwa Mbunge wenu kwa kipindi cha miaka 5 (2020 - 2025). Nafurahi kuona kuwa utumishi wangu kwenu umewagusa wengi na umeacha alama kubwa za kimaendeleo katika Jimbo letu. Asanteni kwa ushirikiano mzuri mlionipatia ktk kipindi chote cha Utumishi wangu.
Kwa dhati ya moyo wangu, ninawashukuru wajumbe wa Mkutano Mkuu maalum wa CCM Wilaya ya Tanga kwa kunipa kura nyingi ktk mchakato wa kura za maoni za kutafuta mgombea ubunge wa CCM katika Jimbo letu Tanga Mjini kwa kipindi cha 2025 - 2030. Mlinikopesha imani kubwa sana. Nitaienzi na kuithamini imani hii daima.
UAMUZI wa vikao vya Chama ni lazima UHESHIMIWE. Nampongeza Ndugu Kassim Amar Mbaraka (Makubel) kwa kuteuliwa kupeperusha bendera ya CCM Tanga Mjini. Ninawaomba wanakimji wenzangu hususani wanaCCM tumpokee na tumpe ushirikiano ili kuhakikisha ushindi wa kishindo kwa Rais Dkt Samia, Mbunge Kassim Makubel na Madiwani katika kata zote 27 za Jimbo la Tanga Mjini
Mwisho, ninawashukuru wote kwa salaam za heri, sala na dua zenu kwangu. Nimeuona upendo wenu wa dhati kabisa kwangu. Asanteni sana. Allah ni Mkarimu.
Ndugu yenu,
Ummy Mwalimu
Bado Kuna nafasi za uteuzi ndani na nje ya bunge.Angekaa kimya tu.
Ubunge ni hela nje nje , za bure kabisaBado Kuna nafasi za uteuzi ndani na nje ya bunge.
inauma kuacha hela za bure, maana hazina kazi yoyote unayoifanya...kugonga meza tuAtulize akili afanye kazi zake.
Hamna mtu wa hivyo alichoongea ni kinyume chakeNa Ummy Mwalimu kutoka kwenye ukurasa wake mtandao wa Instagram
Alhamdulillah ala kulli hal. Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kwa moyo wa shukrani. Quran Tukufu inatufundisha kuwa Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH.
----
Ndugu zangu wanaTanga Mjini,
Nitumie fursa hii kuwashukuru kwa kuniamini kuwa Mbunge wenu kwa kipindi cha miaka 5 (2020 - 2025). Nafurahi kuona kuwa utumishi wangu kwenu umewagusa wengi na umeacha alama kubwa za kimaendeleo katika Jimbo letu. Asanteni kwa ushirikiano mzuri mlionipatia ktk kipindi chote cha Utumishi wangu.
Kwa dhati ya moyo wangu, ninawashukuru wajumbe wa Mkutano Mkuu maalum wa CCM Wilaya ya Tanga kwa kunipa kura nyingi ktk mchakato wa kura za maoni za kutafuta mgombea ubunge wa CCM katika Jimbo letu Tanga Mjini kwa kipindi cha 2025 - 2030. Mlinikopesha imani kubwa sana. Nitaienzi na kuithamini imani hii daima.
UAMUZI wa vikao vya Chama ni lazima UHESHIMIWE. Nampongeza Ndugu Kassim Amar Mbaraka (Makubel) kwa kuteuliwa kupeperusha bendera ya CCM Tanga Mjini. Ninawaomba wanakimji wenzangu hususani wanaCCM tumpokee na tumpe ushirikiano ili kuhakikisha ushindi wa kishindo kwa Rais Dkt Samia, Mbunge Kassim Makubel na Madiwani katika kata zote 27 za Jimbo la Tanga Mjini
Mwisho, ninawashukuru wote kwa salaam za heri, sala na dua zenu kwangu. Nimeuona upendo wenu wa dhati kabisa kwangu. Asanteni sana. Allah ni Mkarimu.
Ndugu yenu,
Ummy Mwalimu
Haha imekuwa Yale ya kina Easter bulaya😤😤😤😤Mbona ntiti sasa!View attachment 3452097
Jamani, mtu kushukuru unampaje Pole? Si unatakiwa umpongeze kwa kile Mungu amempangia na amekikubali kwa kushukuru?Pole kwake.
Hongera sana Dada Ummykwa moyo wa shukrani.
Tulia tu Ummy Wala haukuumbwa ndo wewe tu Kila term utakuwa Mbunge...ccm ni lichama kubwa sana aise afu Lina watu wengi sana...Sasa mpaka unakatwa ujue ccm Ina reserve kubwa ya watu na wewe ukuumbwa na Mungu kuwa mbunge milele.Na Ummy Mwalimu kutoka kwenye ukurasa wake mtandao wa Instagram