GE2025 Ummy Mwalimu: Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kwa moyo wa shukrani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hataki kutema nyongo kama mwenzie Shyrose Bhanji.

"...kama una ubaya useme,
Hiphop inakulinda,ni zaidi ya magamba kwenye nyaya za umeme."
 
Sasaa yalee mandamano sijui kuchana kadi yanatokaa wapi??

Wambie watu wakoo umekubaliana na matokeo jaribu tena

Mwenzio shy rose banji kapambanaa wewe kakiri imetosha
 
Ummy ni mzalendo kutujulisha kuwa tunaongozwa na chapombe.
 
Pamoja na yote kama wamemuachia Vyeti vyake vya kitaaluma basi Haina shida😆

Siasani ukipachikwa ni rahisi kupachuliwa hakuna makazi ya kudumu.
 
Alishakuwa bilionea inamtosha. Sasa ni kuzunguka Dunia kula maisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…