Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Atakuwa analipwa mshahara?Ummy Mwalimu afunguka mazito baada ya kuteuliwa na Rais Samia;
Alichokiandika katika akaunti yake ya X
Alhamdullilah. Sifa zote njema ni za Mwenyezi Mungu.
Kwa shukrani za dhati, heshima, na unyenyekevu mkubwa, ninamshukuru kwa dhati Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa imani kubwa aliyonionyesha kwa kuniteua kuwa Mshauri wake wa Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto.
Ninaahidi kutumikia nafasi hii kwa viwango vya juu kabisa vya weledi, uadilifu, bidii, na utii usioyeyuka katika kuunga mkono maono ya Mheshimiwa Rais na kwa huduma kwa wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Pia, ninachukua fursa hii kutambua imani kubwa na heshima kubwa aliyopewa Rais Samia na Wakuu va Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (@AfricanUnion), ambao wamemkabidhi jukumu hili adhimu la kuwa Bingwa wa Umoja wa Afrika wa Afya ya Mama na Mtoto (MCH). Uteuzi huu unaonyesha uongozi wake uliotukuka na kujitolea kwake thabiti katika kuboresha afya na ustawi wa wanawake na watoto kote barani Afrika.
Kama Mwenyekiti wa Sekretarieti ya Bingwa wa AU wa Afya ya Mama na Mtoto, tunatarajia kufanya kazi kwa karibu na serikali, taasisi za kikanda, washirika wa maendeleo, mashirika ya kiraia, wasomi, sekta binafsi, na wadau wengine wote kote Afrika na nje ya bara hili. Kwa pamoja, tutaunga mkono mamlaka ya Mheshimiwa Rais na kuhamasisha utayari wa kisiasa wa kiwango cha juu, ushirikiano wa kimkakati, na hatua za pamoja ili kuharakisha maendeleo kuelekea kukomesha vifo vinavyozuilika vya akina mama, watoto wachanga, na watoto kote barani Afrika ifikapo mwaka 2030.
Soma Pia: Uteuzi: Ummy Mwalimu ateuliwa kuwa Mshauri wa Rais Samia kwa masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto
Mwisho, ninatoa shukrani zangu za dhati kwa wale wote waliotuma salamu zao za pongezi, utiaji moyo, na heri njema. Uungwaji mkono wenu una thamani kubwa sana na ni chanzo cha msukumo tunapoanza safari hii muhimu.
Asanteni sana.
View attachment 3608741
Hiki Kidogo nacho takataka!Ummy Mwalimu afunguka mazito baada ya kuteuliwa na Rais Samia;

That bi+ch is as much a fool as the bi+ch who politically roughed her up to submission!Ummy Mwalimu afunguka mazito baada ya kuteuliwa na Rais Samia;

Samia ana kitoto kichanga kinaitwa Grace,so huenda Ummy ndio anaenda kuwa Yaya.Sijaelewa mie..- Ni kwamba Rais Samiya ana Mimba/Ujauzito-sasa amemteua UMMY amshauri ajifungue/azae salama na kulea Mtoto vizuri??!!au....
Pongezi kwa Udadavuzi mujaaaarabu Mkuu.Samia ana kitoto kichanga kinaitwa Grace,so huenda Ummy ndio anaenda kuwa Yaya.
Ndiyo maana ameshukuru.Atakuwa analipwa mshahara?
Kakoma?Ummy Mwalimu afunguka mazito baada ya kuteuliwa na Rais Samia;
Alichokiandika katika akaunti yake ya X
Alhamdullilah. Sifa zote njema ni za Mwenyezi Mungu.
Kwa shukrani za dhati, heshima, na unyenyekevu mkubwa, ninamshukuru kwa dhati Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa imani kubwa aliyonionyesha kwa kuniteua kuwa Mshauri wake wa Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto.
Ninaahidi kutumikia nafasi hii kwa viwango vya juu kabisa vya weledi, uadilifu, bidii, na utii usioyeyuka katika kuunga mkono maono ya Mheshimiwa Rais na kwa huduma kwa wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Pia, ninachukua fursa hii kutambua imani kubwa na heshima kubwa aliyopewa Rais Samia na Wakuu va Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (@AfricanUnion), ambao wamemkabidhi jukumu hili adhimu la kuwa Bingwa wa Umoja wa Afrika wa Afya ya Mama na Mtoto (MCH). Uteuzi huu unaonyesha uongozi wake uliotukuka na kujitolea kwake thabiti katika kuboresha afya na ustawi wa wanawake na watoto kote barani Afrika.
Kama Mwenyekiti wa Sekretarieti ya Bingwa wa AU wa Afya ya Mama na Mtoto, tunatarajia kufanya kazi kwa karibu na serikali, taasisi za kikanda, washirika wa maendeleo, mashirika ya kiraia, wasomi, sekta binafsi, na wadau wengine wote kote Afrika na nje ya bara hili. Kwa pamoja, tutaunga mkono mamlaka ya Mheshimiwa Rais na kuhamasisha utayari wa kisiasa wa kiwango cha juu, ushirikiano wa kimkakati, na hatua za pamoja ili kuharakisha maendeleo kuelekea kukomesha vifo vinavyozuilika vya akina mama, watoto wachanga, na watoto kote barani Afrika ifikapo mwaka 2030.
Soma Pia: Uteuzi: Ummy Mwalimu ateuliwa kuwa Mshauri wa Rais Samia kwa masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto
Mwisho, ninatoa shukrani zangu za dhati kwa wale wote waliotuma salamu zao za pongezi, utiaji moyo, na heri njema. Uungwaji mkono wenu una thamani kubwa sana na ni chanzo cha msukumo tunapoanza safari hii muhimu.
Asanteni sana.
View attachment 3608741
Tena mnono na shangingi juu.Atakuwa analipwa mshahara?