Ummy Mwalimu: Ruksa Madaktari kutumia hospitali za Serikali kama private clinic baada ya muda wa kazi

Tupo kwenye kujenga na sikubomoa hili suala lipo mbona ni utaratibu wa kawaida wa Serikali, nendeni pale ocean road mtaona wenyewe. Ni suala tuu la kuweka usimamizi mzuri wa pande zote mbili kati ya Serikali na Daktari. Tukifanya hivi tutarahisha sana ifike hatua tufikirie ndani box sio njema jambo jema hili
 
UONGO NA UPOTOSHAJI MKUBWA

Nachojua mimi na nilivyomuelewa Oddo Ummy alizungumia kuhusu ajira za vijiweni za madaktari na hapa aliweka wazi kuwa serikali inafanya kadri iwezekanvyo kuboresha huduma za afya nchini ili kuwapa wananchi urahisi wa kuzipata hudama za kibingwa katika Vituo vyote vya umma walivyokaribu navyo.

Waziri Ummy alisema madaktari Bingwa wanaruhusiwa kufanya kazi za Mikataba kwenye taasisi za umma nje ya muda wa kazi kwa mkataba, yaan muda wako wa kazi ukiisha basi daktari anaweza kuendelea kubaki hapo hapo kwenye taasisi ya umma ukatoa huduma kwa wananchi kwa makubaliano maalum na hospitali.

Lakini pia sisi wananchi lazima juelewe kuwa Serikali imewekeza kwenye miundombinu bora, wataalam, na vifaatiba. Uwepo wa nyenzo zote hizi ni hatua nzuri kwenye utoaji wa huduma bora za afya hivyo kuwarusu madaktari hawa ni nia njema na dhati ili wananchi wasikose huduma ingali Miundombinu ipo.
 
Hili jambo mbona lipo muda mrefu sana, inaitwa Part Time Contract (PTC) na kwa madaktari inafanyika toka kitambo. Wanakuwa wanafanya kazi kwenye vijiwe wenyewe wanaita hivyo. Unakuta daktari yupo Muhimbili jioni unamkuta private tena wagonjwa wake kawapanga halo na wanachukua na vita via hospitalini wanawahamishia private asubuhi wanarudisha. Safi Oddo Ummy, piga kazi.
 
Bonge la Aidia hiii unajua kuna vitu hatuvitazamani kwa mapana hapa Waziri Ummy nampa Maua yake kwani Madaktari bhana wajanja wajanja sana, safi sana Waziri Ummy kwa kuwaza mbali, hili jambo ni jema naliunga mkono. Madktari wabaki hapo Hospitalini kwa miktaba ya kazi baada ya muda wa kazi wa mwajiri. Serikali iendelee kupata na wao wapate, 50/50.
 
Madaktari bhana wajanja wajanja sana, safi sana Waziri Ummy kwa kuwaza mbali, hili jambo ni jema naliunga mkono. Madktari wabaki hapo Hospitalini kwa miktaba ya kazi baada ya muda wa kazi wa mwajiri. Seriali iendelee kupata na wao wapate, 50/50.
 
Jamani Serikali yetu iko vyema tuiunge mkono, hawa madaktari kila siku wanatuita kwenye hospitali zao huo mida ya jioni, na ni watumishi wa serikali, wanatupima kwenye vijiwe vyao wanaenda kufanya uchunguzi kwenye maabara za Serikali. Bora ulivyofanya uamuzi huu Waziri Ummy.
 
Navyojua hii inaitwa Part Time Contract (PTC) na ipo toka kitambo sana sasa leo mnavyoilipukia kama kitu kipya inashangaza sana kwani kwa madaktari inafanyika toka kitambo. Wanakuwa wanafanya kazi kwenye vijiwe wenyewe wanaita hivyo. Unakuta daktari yupo Muhimbili jioni unamkuta private tena wagonjwa wake kawapanga halo na wanachukua na vita via hospitalini wanawahamishia private asubuhi wanarudisha.

Hii hatua nzuri Odo hapa umeupiga mwingi huduma tuzilatie kwenye Hospitali zetu
 
Yani Watanzania kila kitu sisi ni wakupinga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hatufahamu tunataka nini na nini hatutaki. Hii Oddo Kaona mbali sana binafsi ni Daktari Katika Hospitali hizi za Umma na Jioni mara nyingi baada ya Kutoka kazini tunaingia vijiweni kwenye Vimeo vyetu ambapo mara nyingi ni hospitali Binafsi, so kama serikali imeliona hili na ikaweka namna tukaendelea na Part time job zetu hapo hapo hospitali ni faida kwetu na serikali pia maana Serikali itapata na Daktari nitapata.....Bigup sana Ummy kwa hili
 
Sioni cha ajabu hapa, madaktari huwa wanaingia mikataba na vijiwe huko na mara nyingi wanawachepusha wagonjwa kwenda huko kwenye vijiwe vyao, sasa hamuoni kuwa wakibaki Hospitalini watu watahudumiwa hapa hapa vizuri tuu kwa uhakika maana Serikali imeweka vifaatiba vya uhakika, waweke utaratibu mzuri na usimamizi.Kila kitu kinawezekauna tukiamua tuu.
 
Naungana mkono na wewe, hili litaleta Tija kwa Serikali Ummy hongera sana.
 
Kwenye hili bado naona Mhe waziri anahoja sana naomba niseme hapa Madaktari hawa wanafaidisha watu wengine mtu anatoka anaenda mtaani kurura uko anapewa pesa isiyofika hata nusu lakini kama serikali wakikaa na madaktari hawa wakaweza mpango sahihi bado serikali ingepata faida kuanzia pesa za vipimo na dawa vyote vingeangukia hospitali zetu hii ingekuwa msaada mkubwa.

Sasa mnapomuona waziri akitoa mawazo haya mnapaniki.

MBONA ALIPOSEMA MADAKTARI WAPUNGUZE SEMINA HAMJASEMA CHOCHOTE SABABU KIMASLAHI HARIWAGUSI
 
😂😂😅😅 Tanzania Yangu. Sasa Kazi ni Hospitali sio huko Vijiweni tena hawa watu ni wajanja wajanja sana, Odo hapa amafanya maamuzi bora sana kwa kuwaza mbali, hili jambo nzuri binafsi namlongeza sana na nakubaliana naye 100%. Madktari wabaki Mjengoni kwa miktaba ya kazi baada ya muda wa kazi wa mwajiri. Seriali iendelee kupata na wao wapate, 50/50. Ngoma Droo hii.
 
Nasi wa Bandari turuhusuni kupitisha makontena yetu baada ya muda wa kazi.
Na madereva wa serikali tutumie mav8 Kama Uber
 
Hizi ni dalili tosha kabisa za watu waliochoka kuhudumua wananchi.
Huyo mama anaambiwa vunja serikali apange mpya na wengine awaondoe, yeye bado anang'ang'ania wakati watu wameshajichokea, ili kuua soo la kuvunja serikali na yeye katuletea la bandari
Serikali ya awamu ya 6 ni kevel nyingi e kwenye maamuxi sahihi kwa maskahi ya umma tumuunge mkono Oddo Ummy hili lidanikiwe, hawa madaktari kila siku wanatuita kwenye vijiwe vyao mida ya jioni, na ni watumishi wa serikali, wanatupima kwenye vijiwe vyao wanaenda kufanya uchunguzi kwenye maabara za Serikali.

Kwa maamuzi bora mengi unayofanya kwenye Sekta ya afya hili nalo lipo kwenye list 👏👏👏👏
 
Sioni cha ajabu hapa, madaktari huwa wanaingia mikataba na vijiwe huko na mara nyingi wanawachepusha wagonjwa kwenda huko kwenye vijiwe vyao, sasa hamuoni kuwa wakibaki Hospitalini watu watahudumiwa hapa hapa vizuri tuu kwa uhakika maana Serikali imeweka vifaatiba vya uhakika, waweke utaratibu mzuri na usimamizi.Kila kitu kinawezekauna tukiamua tuu.
 
Sioni cha ajabu hapa, madaktari huwa wanaingia mikataba na vijiwe huko na mara nyingi wanawachepusha wagonjwa kwenda huko kwenye vijiwe vyao, sasa hamuoni kuwa wakibaki Hospitalini watu watahudumiwa hapa hapa vizuri tuu kwa uhakika maana Serikali imeweka vifaatiba vya uhakika, waweke utaratibu mzuri na usimamizi.Kila kitu kinawezekauna tukiamua tuu.
Sioni cha ajabu hapa, madaktari huwa wanaingia mikataba na vijiwe huko na mara nyingi wanawachepusha wagonjwa kwenda huko kwenye vijiwe vyao, sasa hamuoni kuwa wakibaki Hospitalini watu watahudumiwa hapa hapa vizuri tuu kwa uhakika maana Serikali imeweka vifaatiba vya uhakika, waweke utaratibu mzuri na usimamizi.Kila kitu kinawezekauna tukiamua tuu.
 
Kiukweli tuache Utani, Hii issue ya Vijiwe kwa sisi Madaktari ilitutesa sana!!! Ila kwa hatua hizi nazidi kumpongeza Waziri Ummy atleast tutapunguza kutangatanga utoke hapa uende pale urudi huku yani Tafraniii atleast now unawezakamilisha majukum yako ya siku ukasettle sehemu moja na kuendelea na shughuli binafsi huku serikali ikipata faida na Daktari Pia kufaidika.
 
Huu mbona ni utaratibu wa kawaida wa Serikali, nendeni pale ocean road mtaona wenyewe. Ni suala tuu la kuweka usimamizi mzuri wa pande zote mbili kati ya Serikali na Daktari.
 
Kiukweli haya ni maamuzi sahihi sana anachokiwaza oddo ummy kitatupunguzia Kwende vichochoroni kufuata huduma sasa tukutane vituo vya afya vya serikali
 
Huu mbona ni utaratibu wa kawaida wa Serikali, nendeni pale ocean road mtaona wenyewe. Ni suala tuu la kuweka usimamizi mzuri wa pande zote mbili kati ya Serikali na Daktari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…