Ummy Mwalimu: Ruksa Madaktari kutumia hospitali za Serikali kama private clinic baada ya muda wa kazi

Ummy Mwalimu: Ruksa Madaktari kutumia hospitali za Serikali kama private clinic baada ya muda wa kazi

Na sekta nyingine walione hili. Itolewe rukhusa kwa:
1. Polisi kutumia bunduki ktk makampuni ya ulinzi.
2. Walimu watumie madarasa kuendeshea tuition.
3. Maderva wa serikali watumie magari yao kubeba abiria jioni.
n.k
wanakubaliana %ge tu 😀
@bongoRaha
 
Huwezi kusema wanaolipa kodi hawafiki hata milioni au wewe unajua kodi moja tu ya mapato? Kodi aina ya VAT wanalipa watanzania wote wakiwemo watoto (wanaolipiwa na wazazi wao). Kila wakati mtanzania ananunua bidhaa au huduma na kupewa risiti ya EFD anakuwa amelipa kodi ya VAT.
Tuseme watanzania wote mil 61 tunalipa kodi lakini tunalipa kodi ili iweje? pesa ndio inarudi kuiweka nchi sawa kama miundo mbinu, mishahara sijui ulinzi kijumla pesa inapangiwa matumizi kabla ya kukusanywa. Hapa shida hizi kauli mali zetu, sijui urithi wetu ni kauli za kujificha kwenye uvivu. Mali unayomiliki ni ile yenye jina lako utaamua unayotaka wewe na wajukuu zako. Tuko milion 60 huku hatuwezi hata siku moja tukakubaliana 100% ndio maana tuwekeana utaratibu Chama kinachoshinda uchaguzi ndio wanajukumu la kuongoza nchi. umewachagua hujawachagua wao ndio majority wataongoza serikali na tutaheshimu uamuzi. Kila baada ya miaka mitano tunahaki ya kuchagua tena ndio wakati wako wa kuongea. Suala la uchaguzi halali au sio halali hilo ni mjadala mwingine. Kuna chaguzi za club zetu watu wachache lakini humo humo kunatoka na mtu hajaridhika na uchaguzi na hiyo ni club tu ni kama chama kimoja, sembuse vyama vingi.
 
Back
Top Bottom