Huwezi kusema wanaolipa kodi hawafiki hata milioni au wewe unajua kodi moja tu ya mapato? Kodi aina ya VAT wanalipa watanzania wote wakiwemo watoto (wanaolipiwa na wazazi wao). Kila wakati mtanzania ananunua bidhaa au huduma na kupewa risiti ya EFD anakuwa amelipa kodi ya VAT.