toka haraka nenda bafuni
toka haraka nenda bafuni
Sasa nifanyeje, huu si ni umbea tu? Yaani nimo nyumbani kwangu halafu condomu ipasuka huko nje, mimi inanihusu nini?
Habari zenu.
Wenye kujua naomba msaada/ushauri wenu.
Ulikua na game ya ugenini, ghafla pah uko uwanjani golini kabisa nyavu na kipa,mpira umepasuka.
Na kwa sababu ni game ya ugenini hujui km mwenzako ni salama. Na kuna uwezekano mkubwa ni muathirika. Je kuna namna yoyote unaeza fanya kuzuia /kuyawahi maabukizi?Hasa Ukimwi?
Bahati mbaya ile kitu ikipasuka unakuja kustukia baada ya kumaliza kila kitu.