UMOJA FUND za UNTIT TRUST OF TANZANIA

UMOJA FUND za UNTIT TRUST OF TANZANIA

kimanga

Member
Joined
Mar 3, 2010
Posts
21
Reaction score
1
Habari za asubuhi ndugu wadau, kwa mara nyingine tena naomba mnifungue akili kuhusu huu mfuko wa uwekezaji UTT. Ukinunua vipande 61, 600, je vitauzwa ndani ya siku ngapi? Naomba wadau wenye uwelewa wa mengi zaidi wanijuze kuhusu UTT.

Thanks.
 
kweli hakuna wadau wanaofahamu hii kitu
 
Habari za asubuhi ndugu wadau, kwa mara nyingine tena naomba mnifungue akili kuhusu huu mfuko wa uwekezaji UTT. Ukinunua vipande 61, 600, je vitauzwa ndani ya siku ngapi? Naomba wadau wenye uwelewa wa mengi zaidi wanijuze kuhusu UTT.

Thanks.

Cc:makirita
 
Mkuu naona swali lako ni la siku nyingi kidogo na nadhani utakuwa ushapata majibu labda. Nijuavyo mimi, mwenye vipande ndiye anayeamua kuuza vipande vyake na atauza kwa bei itakayokuwepo kwa wakati huo. Vipande hivyo vinauzwa kwa wao wenyewe UTT na unaweza ukaviuza vyote kwa wakati mmoja au ukauza kiasi kwa kadri utakavyoona wewe inafaa.
 
Back
Top Bottom