Umoja na Uzalendo wa Kitaifa: Polisi na Wanasiasa wa Tanzania, Jifunzeni Kutoka Kenya

Toosweet

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2012
Posts
2,141
Reaction score
1,982
Kwenu,
_
Boniface Murage, mkazi wa Embakasi, Nairobi nchini Kenya, amekuwa gumzo katika vyombo vya habari Afrika Mashariki baada ya kukamatwa akijaribu kumtorosha mwanae Hospitali kwa kushindwa kulipia gharama za matibabu.

Murage alishindwa kulipa Shilingi 56,000/= za Kenya (sawa na 1.3 milioni za Tanzania), ambazo ni bill ya mtoto wake aliyepatiwa matibabu hospitali ya Kenyatta.

Gharama hizi ni kubwa sana kutokana na uhalisia wa hali yake ya kiuchumi na hivyo akaamua kumtorosha mtoto wake kwa kumficha kwenye Begi.

Askari walipofungua begi walimuona mtoto. Murage akakamatwa na kufunguliwa mashtaka. Jumanne February 19 mahakama ilimkuta na hatia na kumhukumu kifungo cha nje cha miezi mitatu na kutakiwa kulipa gharama hizo.

Tukio hili limegusa hisia za watu wengi nchini Kenya, na baadhi walijitokeza kumuwekea dhamana, na wengine kumlipia gharama za mawakili.

Gavana wa Nairobi Mike Sonko amelipia gharama zote za hospitali na amemfanyia shopping mtoto huyo ya mahitaji yake muhimu ikiwemo nguo, chakula na vifaa vya kuchezea. Pia amempa Murage offer ya kazi ili aweze kutunza familia yake.

Mbunge wa Embakasi mashariki Babu Owino amempatia Murage KSH 200,000/= (sawa na 4.5Milion za Tanzania) kama alivyoahidi siku Murage anakamatwa.

Mkuu wa Polisi Embakasi SSP Tamo Sanaiet alifika hospitali kulipa bill lakini akaambiwa Sonko ameshalipa. Hivyo akamtafuta Murage na kumkabidhi KSH 56,000/= ambazo angelipa hospitali. Pesa hizo ni mshahara wake.

Kuna mengi ya kujifunza katika kisa hiki cha Murage. Lakini kwa uchache;

Mosi ni namna kina baba wanavyohangaika ili kutunza familia zao. Hujui anapitia mangapi kuhakikisha mnakuwa salama. Anapitia mangapi kuhakikisha mnapata chakula. Anapitia mangapi kuhakikisha bili zinalipwa. Anapitia mangapi kuhakikisha mnasoma. Anapitia mangapi kuhakikisha mnakuwa na afya bora.

Pili, haijalishi unapitia magumu mangapi, usikate tamaa. Hali yako ya sasa ni ya muda tu. Ipo siku itatoweka, na hutabaki kama ulivyo. Pengine jaribu lako ndio njia ya kukufikia mafanikio yako. Murage hakujua kama kitendo cha kumtorosha mwanae kingebadili kabisa maisha yake. Mungu hufanya njia pasipo na njia.

Tatu; ni suala la umoja wa kitaifa. Ukiona namna jamii ya wakenya walivyoguswa na tukio hili utaamini katika umoja ninaousemea. Ukianza na wanasiasa waliomsaidia ambao wanatoka vyama hasimu, Babu Owino (NASA) na Sonko (Jubilee) lakini waliweka tofauti zao pembeni. Hapa kwetu kuna Waziri alitamka hadharani kuwa hawezi kumsaidia binti mmoja mgonjwa kwa sababu anayekusanya michango hiyo ni kiongozi wa Chadema. Kenya siasa ni diversion za maendeleo, but kwetu siasa ni uadui.

Pia kitendo cha Afisa wa Polisi kuamua kutoa mshahara wake kumpa Murage ni ishara kwamba utu ni tunu muhimu kwa Wakenya. Polisi haohao waliomkamata na kumpandisha kizimbani ndio wanatoa hela wanampa. That means walimkamata tu ili kukidhi matakwa ya kisheria. Wakaiacha sheria ichukue mkondo wake, lakini haikuwaondolea ubinadamu wa kumsaidia.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sifa kuu ya kujenga Demokrasia ni kujenga Uzalendo ,umoja ,utu,Uhuru,haki,usawa, na unyenyekevu. Dunia nzima nchi hatari kabiasa za kuishi ni nchi za kidikteta.
Dunia nzima nchi zenye viongozi wanaishi kwa gharama kubwa na hofu kuu huku nchi zao zikiwa maskini ni nchi za kidikteta.
Dunia nzima nchi zenye polisi maskini wanye mishahara duni na kuishi kwa kuwatesa watu wao wanaolipa kodi ni nchi za kidikteta.
Kenya wakati wa Daniel Arap Moi walikua na Mfumo wa kimabavu.
Ukabila Ulikua mkubwa Sana. Uonevu ulikua mkubwa sana. Polisi walikua na roho mbaya sana. Nakumbuka wakati huo walikua wanasema ukifungwa Mwezi mmoja Kenya ni bora ufungwe mwaka nzima Tanzania mana magereza ya huko ilikua ni mateso makubwa sana.

Enzi za utawala wa Kimabavu wa Mabeberu weusi na weupe viongozi wa Kenya walijilimbikizia Mali za umma na utajiri wa nchi. Walitumia vyombo vya Dola kudhibiti wale waliojaribu kuwakosoa Watawala waliokua wanaongoza nchi kwa mkono wa chuma kupitia . Waliopinga ukabila,udini na upendeleo walipotezwa na kuuawa. Utawala wa Kenya ulikua ni ukatili wakati wa Chama kimoja cha siasa.
Siasa za Kidemokrasia ziliibadili taratibu Kenya kuwa nchi bora na yenye umoja kuliko Mwanzo.
Demokrasia iliwafanya watawala wahubiri umoja,utu ,upendo,amani na uadilifu . Leo watawala wa Kenya pamoja na kwamba wanatoka katika Familia Tajiri na za Kibeberu lakini wamejifunza kuwa wanyenyekevu na wananaheshimu watu. Kenya Polisi walijua kuwa watawala hawana Tishio kubwa la kusababusha wawaue ndugu zao zaidi ya Tishio la kimadaraka na kimaslahi.

Katiba mpya imewafanya watawala wa Kenya kujitambua kuwa wao pia ni binadamu wanaoweza kusononeka pale wanapoona ndugu zao wanauawa au kupotea au kufa.
Katiba mpya umeifanya Kenya kuwa nchi ya waKenya wote ndio mana kila mmoja anaguswa na matatizo ya mwenzake.

Wanasiasa wakijua kuwa wanaweza wakapata madaraka kwa kuwagawa watu ,watafanya hivyo bila tatizo mana watu wengine walikua na roho ya kijambaza wakaibukia kwenye siasa. Ndio maana hapa Afrika kuna nchi ambazo wapo wanasiasa wanaopongeza ugaidi wa watu wasiojulikana na kuwahamasisha kuua wale ambao ni Tishio kwa vyeo vyao.
Tunaona watawala wakisema hadharani kuwa hawawezi kutumia kodi za watu kuleta maendeleo kwenye maeneo yenye wapinzani.
Kwenye udikteta Haki ,vyeo,maendeleo na hata ajira vinatolewa kwa ukabila,vyama na udini.

Tukitaka kujifunza umuhimu wa Demokrasia ni vizuri tukajifunza Kenya .Nchi iliyokua na mauaji makubwa ya kuua wanaharakati na wapinzani. Kenya nchi iliyotawaliwa Kimabavu . Kenya nchi iliyokuwa inatawaliwa Kikabila . Nchi ya Kenya ilikua na watawala wanaojilimbikizia Mali na ardhi kubwa wakati wa utawala wa kimabavu wa Moi na Kenyatta.
Hata hivyo Kenya sasa inaondokana na utawala mbaya ,ukabila,unyama na udikteta kutokana na Katiba yenye kuendana na Misingi ya Kidemokrasia . Kama Kenya itaendelea kusimamia katiba waliyonayo baada ya miaka 10 mbele watakua wana maendeleo makubwa sana kisiasa,kiuchumi na kijamii . Ugaidi ndio unaowasumbua kwa sasa lakini bado wapo stable kuliko hizo nchi zilizopigana vita ya kujitile miaka ya 78. Vita ambayo haikua na gharama kubwa kama vita ya sasa ya Ugaidi inayolenga maeneo makubwa ya kiuchumi.
Dokrasia inawafanya wakenya wanazidi kuwa wamoja ukilinganisha na walipotoka.

Kuna nchi nyingine Polisi wanatumika kuwagawa watu kwa faida ya kakundi kadogo ka watawala ambao wanalenga madaraka. Kuna nchi watu wanahamasisha mauaji kwa wale wanaopingana nao kisera na kimitizamo ya kisiasa lakini polisi hawasimami kwenye sheria lakini mtu akikosoa namna watawala wanavyoshindwa kugawa vitambulisho basi watu wanakamatwa na kufikishwa mahakamani kwa kosa uchochezi.

Yani kukosoa Kitambulisho kisicho na uhai ni kosa kubwa kuliko kuhamasisha mauaji. Hapa ndipo pa kujitafakari na kujua kuwa watawala wanatufarakanisha kwa maslahi yao na vyeo vyao kupitia ndugu zetu ,kaka zetu,Dada zetu ,watoto wetu waliopo kwenye vyombo vya Doladola.
Yote hayo yanafanyika kwa sababu ya kulinda maslahi ya wachache wasio waadilifu wenye vyeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya wako.mbel

Wakenya wako mbele sana ya wahutu. Full stop.
 
Safi sana. Kama simulizi fulani yenye mafundisho ya kiwango cha juu, na uwasilishaji umetulia sana. Big up sana kwa wakenya, big up sana kwa mleta Uzi kwa uchambuzi murua.

***Abhasubhi twemanye***
 
unakumbuka Kenyatta alichomfanya
Miguna Wa Miguna
 
Kinachoniuma ni hya madikteta yakimaliza utawala wao yanatunzwa na hela za walipa kodi mpaka yanapokufa tena wanakufa vifo vya amani kbsa kwenye hospital za gharama nje ya nchi,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu acha kutulisha matango pori...

Kenya hakuna umoja wowote wa kitaifa aisee, mbona watu waongo hivyo.??

Kuna nchi iliyogawanyika Kama Kenya hapa afrika mashariki.????

Watanzania tunafeli wapi.? Tutaacha lini hii ideology ya kwamba chochote cha nje ya mipaka yetu ni bora.???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni uongo Askari wa Kenya wapo wa aina nyingi hawana upole na ushirikiano km wa Tanzania
na aliyepekua begi ni km mgambo wa getini.
ni Siasa uchwara kunsaidia mtu Mahakamani
Kwanini hawakumsaidia Hospitali
Tanzania Mtoto chini ya miaka 5 anatibiwa Bure na wala Mlangoni asingezuiliwa
Rais wetu upande wa afya analipia vingi
1552487255902.png

Tanzania asingewekwa Pingu fuatilia full stori acheni UONGO
 
Huyo haijui Kenya vizuri

UNASHINDWAJE KUFUATILIA UKWELI
Tanzania kuna mtoto chini ya miaka 5 akalipishwa Bill kubwa hivyo
1552487953430.png

asiyetaa kuishi Tanzania aende Kenya akaone cha moto kuanzia Matibabu (yamkute ya Mbaraka Mwinshehe wa Moro Jazz ) au mnyamaze watoto ni Bure na mgambo hatakuzuia mlangoni
1552488136411.png
 
UNASHINDWAJE KUFUATILIA UKWELI
Tanzania kuna mtoto chini ya miaka 5 akalipishwa Bill kubwa hivyo
View attachment 1044845
asiyetaa kuishi Tanzania aende Kenya akaone cha moto kuanzia Matibabu (yamkute ya Mbaraka Mwinshehe wa Moro Jazz ) au mnyamaze watoto ni Bure na mgambo hatakuzuia mlangoni
View attachment 1044846
Wewe nawe bhange kweli! Hapo umeniquote ni wapi umeona nimeongelea habari za Tanzania? Mimi ni mtanzania na ninaishi Tanzania, kama unashindwa kuishi na watu unaotofautiana nao ondoka utuachie nchi yetu. Ova.

***Abhasubhi twemanye***
 
Acheni uongo Askari wa Kenya wapo wa aina nyingi hawana upole na ushirikiano km wa Tanzania
na aliyepekua begi ni km mgambo wa getini.
ni Siasa uchwara kunsaidia mtu Mahakamani
Kwanini hawakumsaidia Hospitali
Tanzania Mtoto chini ya miaka 5 anatibiwa Bure na wala Mlangoni asingezuiliwa
Rais wetu upande wa afya analipia vingi
View attachment 1044836
Tanzania asingewekwa Pingu fuatilia full stori acheni UONGO
NA MKUBALI JIWE HAPO2 PAKULIPIA GARAMA ZA MATIBABU KWA WATOTO
 
Ndugu yangu acha kutulisha matango pori...

Kenya hakuna umoja wowote wa kitaifa aisee, mbona watu waongo hivyo.??

Kuna nchi iliyogawanyika Kama Kenya hapa afrika mashariki.????

Watanzania tunafeli wapi.? Tutaacha lini hii ideology ya kwamba chochote cha nje ya mipaka yetu ni bora.???

Sent using Jamii Forums mobile app
Jenga hoja, acha hisia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenu,
_
Boniface Murage, mkazi wa Embakasi, Nairobi nchini Kenya, amekuwa gumzo katika vyombo vya habari Afrika Mashariki baada ya kukamatwa akijaribu kumtorosha mwanae Hospitali kwa kushindwa kulipia gharama za matibabu.

Murage alishindwa kulipa Shilingi 56,000/= za Kenya (sawa na 1.3 milioni za Tanzania), ambazo ni bill ya mtoto wake aliyepatiwa matibabu hospitali ya Kenyatta.

Gharama hizi ni kubwa sana kutokana na uhalisia wa hali yake ya kiuchumi na hivyo akaamua kumtorosha mtoto wake kwa kumficha kwenye Begi.

Askari walipofungua begi walimuona mtoto. Murage akakamatwa na kufunguliwa mashtaka. Jumanne February 19 mahakama ilimkuta na hatia na kumhukumu kifungo cha nje cha miezi mitatu na kutakiwa kulipa gharama hizo.

Tukio hili limegusa hisia za watu wengi nchini Kenya, na baadhi walijitokeza kumuwekea dhamana, na wengine kumlipia gharama za mawakili.

Gavana wa Nairobi Mike Sonko amelipia gharama zote za hospitali na amemfanyia shopping mtoto huyo ya mahitaji yake muhimu ikiwemo nguo, chakula na vifaa vya kuchezea. Pia amempa Murage offer ya kazi ili aweze kutunza familia yake.

Mbunge wa Embakasi mashariki Babu Owino amempatia Murage KSH 200,000/= (sawa na 4.5Milion za Tanzania) kama alivyoahidi siku Murage anakamatwa.

Mkuu wa Polisi Embakasi SSP Tamo Sanaiet alifika hospitali kulipa bill lakini akaambiwa Sonko ameshalipa. Hivyo akamtafuta Murage na kumkabidhi KSH 56,000/= ambazo angelipa hospitali. Pesa hizo ni mshahara wake.

Kuna mengi ya kujifunza katika kisa hiki cha Murage. Lakini kwa uchache;

Mosi ni namna kina baba wanavyohangaika ili kutunza familia zao. Hujui anapitia mangapi kuhakikisha mnakuwa salama. Anapitia mangapi kuhakikisha mnapata chakula. Anapitia mangapi kuhakikisha bili zinalipwa. Anapitia mangapi kuhakikisha mnasoma. Anapitia mangapi kuhakikisha mnakuwa na afya bora.

Pili, haijalishi unapitia magumu mangapi, usikate tamaa. Hali yako ya sasa ni ya muda tu. Ipo siku itatoweka, na hutabaki kama ulivyo. Pengine jaribu lako ndio njia ya kukufikia mafanikio yako. Murage hakujua kama kitendo cha kumtorosha mwanae kingebadili kabisa maisha yake. Mungu hufanya njia pasipo na njia.

Tatu; ni suala la umoja wa kitaifa. Ukiona namna jamii ya wakenya walivyoguswa na tukio hili utaamini katika umoja ninaousemea. Ukianza na wanasiasa waliomsaidia ambao wanatoka vyama hasimu, Babu Owino (NASA) na Sonko (Jubilee) lakini waliweka tofauti zao pembeni. Hapa kwetu kuna Waziri alitamka hadharani kuwa hawezi kumsaidia binti mmoja mgonjwa kwa sababu anayekusanya michango hiyo ni kiongozi wa Chadema. Kenya siasa ni diversion za maendeleo, but kwetu siasa ni uadui.

Pia kitendo cha Afisa wa Polisi kuamua kutoa mshahara wake kumpa Murage ni ishara kwamba utu ni tunu muhimu kwa Wakenya. Polisi haohao waliomkamata na kumpandisha kizimbani ndio wanatoa hela wanampa. That means walimkamata tu ili kukidhi matakwa ya kisheria. Wakaiacha sheria ichukue mkondo wake, lakini haikuwaondolea ubinadamu wa kumsaidia.!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mroto na Mambosasa igeni mfano wa SSP wa Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe nawe bhange kweli! Hapo umeniquote ni wapi umeona nimeongelea habari za Tanzania? Mimi ni mtanzania na ninaishi Tanzania,

***Abhasubhi twemanye***
basi wewe PUNGA utamsifiaje ujinga mtu anayeandika upuuzi kwa nini usiingie tu Google na kuisoma habari yote wakati ,leta mada katunga UONGO eti POLISI waliimkamata
Safi sana. Kama simulizi fulani yenye mafundisho ya kiwango cha juu, na uwasilishaji umetulia sana. Big up sana kwa wakenya, big up sana kwa mleta Uzi kwa uchambuzi murua.
***Abhasubhi twemanye***
 
unakumbuka Kenyatta alichomfanya
Miguna Wa Miguna
Hakuwa mwanasiasa Bali mtu aliyeamua tu kukiuka katiba.
Katiba ya Kenya inampa Uhuru Mpana wa kwenda mahakamani kumshitaki yeyote.
Sasa kama ameamua kuonyesha tu ubabe bila kutumia sheria basi ni lazima sheria nyingine zitambana.

Hata Hivyo bado tunaipongeza Kenya tukiangalia ilipotoka na ilipo na dira yake kwa sasa bila kujali Haki ya Kenya kiusalama kuhusiana na Ugaidi. Yanayotokea Kenya Kiugaidi yangetokea nchi nyinge basi watu wasingetoka nje ikifika sa kumi jioni .

Kenya ilikotoka na ilipo ni jambo la kuungwa mkoni tofauti kabisa na wengine wanaorudi nyuma zaidi.

Watawala wanayopata vyeo kwa kura ndani na nje ya vyama vyao ni lazima wahudumu kwa Demokrasia mana ndiyo inayowapa nafasi hizo wanazokula manono ya nchi na wawe tayari kukataliwa na wengine kupata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinachoniuma ni hya madikteta yakimaliza utawala wao yanatunzwa na hela za walipa kodi mpaka yanapokufa tena wanakufa vifo vya amani kbsa kwenye hospital za gharama nje ya nchi,

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kuna Dikteta yeyote duniani anayefikiri kuwa miaka 50 ijayo atapata Sifa ni yule alitakayefanikiwa kuwaua watu wote na kubakiza wa kabila lake pekee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom