Umoja ni Nguvu: Ujenzi wa ofisi ya CHADEMA Mkoa wa Njombe wafikia pazuri

Umoja ni Nguvu: Ujenzi wa ofisi ya CHADEMA Mkoa wa Njombe wafikia pazuri

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Pamoja na njama zote za kuhujumu Chama hiki lakini bado wananchi wamepeleka Matumaini yao kwa Chadema, wanaendelea kukichangia ili kukamilisha kujenga ofisi zake nchi nzima.

Malisa_GJ_on_Instagram:_“Anaandika_@rose_mayemba_Mwenyekiti_wa_Chadema,_mkoa_wa_Njombe._______...jpg


Hili Jengo unaloliona hapo ni ofisi iliyokaribia kwisha ambayo ikikamilika itakuwa ofisi ya Chadema Mkoa wa Njombe, ikumbukwe kwamba ofisi hii na nyingine zinazoendelea kujengwa nchi nzima zinajengwa kwa hisani ya wananchi wenyewe walioamua kuchangia chochote walicho nacho.

Kwa vile kufanya kazi ya Chadema ni sawa na kufanya kazi ya Mungu basi tafadhalini sana wananchi , tafadhalini , endeleeni kuchangia ujenzi wa nyumba za Chadema nchi nzima kwa lengo la kukiwezesha chama hiki kukomboa nchi yenu , Hakika kwa kazi hii iliyotukuka Mungu atawarudishia mara dufu .
 
CCM hawaja wahi jenga ofisi, wamepora za TANU na majengo ya serikali... kuna mwaka yote yatarudi maana ni ukweli ambao hauna utata! It is on concrete record.
Hakika !
 
IMG_6927.jpg

Mbona ofisi haina eneo la bendera kama ilivo hapo makao makuu
 
Halafu ramani ilitakiwa ifanane na makao makuu ndio ingependeza
 
Itabidi nimpigie Simu Mdogo wangu Rose Mayemba nimuulize vizuri
 
Back
Top Bottom