Umoja ni nguvu

Umoja ni nguvu

Wasunuka

New Member
Joined
Dec 21, 2008
Posts
3
Reaction score
0
Naitwa wasunuka,nimekuwa nikifuatilia sana jamii forums kwa muda mrefu sasa na nimeamua kujiunga ili tuwe na nguvu kubwa ya kuleta maendeleo katika nchi yetu na africa kwa ujumla,Napenda kuwapongeza sana wote kwa juhudi kubwa za kupinga ufisadi bila woga,naomba tusonge mbele,tutashinda.
Umoja ni nguvu,utengano ni udhaifu.
Zidumu fikra huru za kutetea maslahi ya watanzania.
 
Back
Top Bottom