Hiki Chama kimeanza na ubaguzi. Hivi Tanzania ya leo au hata hio ya zamani watu wake ni weusi watupu? Na kusema Rangi nyeusi inawakilisha Uafrika wetu hili nalo neno la kibaguzi, tayari inaonyesha hiki Chama kina chuki. Je, tunaijua Afrika na kama tunaijua. Je, Afrika watu wake ni weusi watupu? Hapa katikati ya Tanzania kuna waTanzania weupe kama hujaambiwa huyo au huyu ni Mtanzania huwezi kujua, labda akimwaga kiluga ndio wewe utauliza.
Na waTanzania sio weusi kihivyo, shida zilizoletwa na zinazozidi kutengenezwa na Serikali ya CCM ndio inatufanya tuonekane weusi na sio kosa kuwa mweusi lakini unapoleta sisi Waafrika tayari umetoa harufu ya Ubaguzi. Kwanini usiseme sisi waTanzania? Unaona aibu gani? Huyu Mwenyekiti wao ulimi wake mweusi?
NA huku kusema sisi Waafrika, je anamaanisha Chama chake kina wanachama wasio waTanzania? Labda ni kutoka Rwanda? Maana hiki Chama kinatakiwa kiundwe na waTanzania na sio Waafrika WaTanzania wote ni Waafrika lakini Waafrika wote si waTanzania, mpaka wawe wameomba uraia kwa kufuata sheria zilizowekwa.
Ubaguzi hata hamjapata usajili wa kudumu, rangi nyeusi inawakilisha ubaguzi.