Magufuli yeye alikuwa anapora chaguzi ili kupata madaraka. Nyie umoja party hiyo backup mtaipata wapi wakati hamna dola? Au ndio hicho chama kinachoanzishwa na Tiss ili kuendelea kuchezea siasa za nchi hii?
Km ilivyokua kwa jiwe kwa wapinzani especially CHADEMADini ile wataendelea kukurarua!! Waoga sana sana wanapokuwa jikoni
Another CCM scams
Naona kweli "mnashahuku"
Acha kuabudu marehemu. Tunamkumbuka kwa wizi wa Tsh 2.4 Trilion, chuki dhidi ya upinzani, ubaguzi wa maendeleo kwa kupendelea Chato, matusi kwenye majukwaa, kuropoka, ubishi wa Corona mpaka imemuua, uuaji wa akina Ben Saanane na Azory Gwanda, utekaji wa akina MoDewji, maonezi kwa akina Eric Kabendera na Tito Magoti na dharau kwa wanawake tu.Hujui nyamaza
Wewe usiunge mkono boss, tuliochukizwa na ccm tutaungana hata na lusifa ili kitoke tuAcha kuabudu marehemu. Tunamkumbuka kwa wizi wa Tsh 2.4 Trilion, chuki dhidi ya upinzani, ubaguzi wa maendeleo kwa kupendelea Chato, matusi kwenye majukwaa, kuropoka, ubishi wa Corona mpaka imemuua, uuaji wa akina Ben Saanane na Azory Gwanda, utekaji wa akina MoDewji, maonezi kwa akina Eric Kabendera na Tito Magoti na dharau kwa wanawake tu.
Atakumbukwa kwa UDIKTETA, kukandamiza Demokrasia, Wizi wa uchaguzi Serikali za Mitaa 2019, wizi wa kura uchaguzi Mkuu 2020, kuvunja Katiba, kudhibiti Bunge na kuitishia Mahakama. Vilevile kuminya uhuru wa kujieleza na kuitishia vyombo vya habari
Acha ngonjeraAcha kuabudu marehemu. Tunamkumbuka kwa wizi wa Tsh 2.4 Trilion, chuki dhidi ya upinzani, ubaguzi wa maendeleo kwa kupendelea Chato, matusi kwenye majukwaa, kuropoka, ubishi wa Corona mpaka imemuua, uuaji wa akina Ben Saanane na Azory Gwanda, utekaji wa akina MoDewji, maonezi kwa akina Eric Kabendera na Tito Magoti na dharau kwa wanawake tu.
Atakumbukwa kwa UDIKTETA, kukandamiza Demokrasia, Wizi wa uchaguzi Serikali za Mitaa 2019, wizi wa kura uchaguzi Mkuu 2020, kuvunja Katiba, kudhibiti Bunge na kuitishia Mahakama. Vilevile kuminya uhuru wa kujieleza na kuitishia vyombo vya habari
Kachimbe kaburi Chato tukuzike pamoja naye, naona limekugusaAcha ngonjera
Ukikua utaelewa faida za Utawala wa JPMKachimbe kaburi Chato tukuzike pamoja naye, naona limekugusa
sasa hapo mtapataje kura wakati mshindi anatokana na halali au haramu according to mtoto wa mjini NAPE?
Hakuna faida zaidi ya kuvuruga umoja wa kitaifa.Ukikua utaelewa faida za Utawala wa JPM