Umoja party: Tunakwenda kukamilisha usajili na kuyaenzi Mazuri Hayati Magufuli aliyowafanyia Watanzania

Hujui nyamaza
Acha kuabudu marehemu. Tunamkumbuka kwa wizi wa Tsh 2.4 Trilion, chuki dhidi ya upinzani, ubaguzi wa maendeleo kwa kupendelea Chato, matusi kwenye majukwaa, kuropoka, ubishi wa Corona mpaka imemuua, uuaji wa akina Ben Saanane na Azory Gwanda, utekaji wa akina MoDewji, maonezi kwa akina Eric Kabendera na Tito Magoti na dharau kwa wanawake tu.

Atakumbukwa kwa UDIKTETA, kukandamiza Demokrasia, Wizi wa uchaguzi Serikali za Mitaa 2019, wizi wa kura uchaguzi Mkuu 2020, kuvunja Katiba, kudhibiti Bunge na kuitishia Mahakama. Vilevile kuminya uhuru wa kujieleza na kuitishia vyombo vya habari
 
Wewe usiunge mkono boss, tuliochukizwa na ccm tutaungana hata na lusifa ili kitoke tu
 
Acha kuabudu marehemu. Tunamkumbuka kwa wizi wa Tsh 2.4 Trilion, chuki dhidi ya upinzani, ubaguzi wa maendeleo kwa kupendelea Chato, matusi kwenye majukwaa, kuropoka, ubishi wa Corona mpaka imemuua, uuaji wa akina Ben Saanane na Azory Gwanda, utekaji wa akina MoDewji, maonezi kwa akina Eric Kabendera na Tito Magoti na dharau kwa wanawake tu.

Atakumbukwa kwa UDIKTETA, kukandamiza Demokrasia, Wizi wa uchaguzi Serikali za Mitaa 2019, wizi wa kura uchaguzi Mkuu 2020, kuvunja Katiba, kudhibiti Bunge na kuitishia Mahakama. Vilevile kuminya uhuru wa kujieleza na kuitishia vyombo vya habari
Acha ngonjera
 
Ukikua utaelewa faida za Utawala wa JPM
Hakuna faida zaidi ya kuvuruga umoja wa kitaifa.

Kwa taarifa yako wewe dogo naweza kuwa baba yako kwa umri wangu. Usimkadirie umri mtu anayetumia anonymous ID
 
Back
Top Bottom