Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umoja gani hata ujulikani chama cha wanao jichua na mashogaUhuru umezidi mpaka umeanza kujiita majina ya kipuuzi
PUMBAFFF
We zombiUmoja party ni chama cha walevi huko mapori ya katavi
Dini ile wataendelea kukurarua!! Waoga sana sana wanapokuwa jikoni
Acha kije tutakiunga mkono.Umoja party ni cha Humphrey Polepole
Wampe shetani (Satan) halafu wategemee wasiangushwe?Kwenye serikali za mitaa nipeni mimi. Sitawaangusha.
Wanasajili vipi wanachama???nataka niwe mwanachama mm sina chama cha siasa chochote kwa sasa
Vyama tulivyonavyo vinatosha. Na kama mnaiga mambo ya watu wengine sijui Magu, Nyerere, Mkapa na yeyote yule Mimi mmenikosa. Na huenda tayari CCM inawapa fungu mtusumbue. Maana Magu alikuwa CCM na mnafuata misingi yake. Kwahiyo ya kiCCM. Kwaheri!
Wakaribisheni .Karibuni, ila Siasa sio nyepesi kihivyo. ACT naye aliingia kwa mkwara 2015, ila akaambulia kiti kimoja Cha Ubunge na kura za urais 90,000. Baada ya hapo wamekuwa na adabu kwa siasa
Haya matakataka tuliyazika Chato mwaka 2021, hayatokuja kufufuka tenaMagulification must go on
Brace for VICTORY.