#COVID19 Umoja wa Afrika (AU) waitengea Tanzania dozi milioni 17 za COVID-19

#COVID19 Umoja wa Afrika (AU) waitengea Tanzania dozi milioni 17 za COVID-19

baada ya kuchanjwa Watanzania wote kwa 99.99% mimi nitakua wa mwisho...
 
Hii chanjo kila mmoja atachanjwa , na ni lazima 😂 only matter of time
Kingpin Jobo Kambana Gwajiboy Tayari
Huingii Mjengoni Mpaka Uchanjwe
Wapi Sasa Hivi
Kabudi,Jafo Na Msukuma
😀😁😁😁😂😂🤣🤣🤣🤣😃😃🤣🤣😂😄
Nawa~Zoom😏🙄😶😑
 
Mama samia, pamoja na jopo lake, aliazimia kuwadunga wanajeshi wetu chanjo za corona zilizoletwa na wazungu.

Hivi majuzi tumeletewa furushi la chanjo milioni moja na kenda, na kesho kutwa hapa tutapokea furushi lingine la chanjo za msaada karibu milioni 17.

Majeshi yetu yakae chonjo kudungwa chanjo za uviko pamoja na makundi mengineyo yaliyoorodheshwa kama ilivyoelekezwa na kamati ya corona.

WAZUNGU wametueleza kwamba chanjo ni salama na zina ubora. Wote tufanye hima tukadungwe chap chap.

Chanjo za bure bwerere! Wewe tu na bega lako.
bila shaka wameshapokea chanjo tayari maana wameanzia inner cycle kabisa
 
Hii chanjo kila mmoja atachanjwa , na ni lazima 😂 only matter of time
Nimesikia Kenya watumishi wa umma wawe wamechanjwa at least chanjo 1 ya Covid-19 kabla ya tarehe 30 mwezi huu wanaondoa kufanya kazi ukiwa nyumbani.
Kwetu tu siyo siku nyingi ulazima au umuhimu wa kuchanja utakuja ili kupata huduma mbali mbali.
 
Bwana kipenyo mmoja karopoka kuwa lazima kila adungwe kwa hizi za msaada zikiisha hatari yaja hutaweza kupata huduma kwenye ofisi fulani fulani
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kwelii hii nchi iko out of phase kwA digrii 180...leo hii Israel wakasema uwezo wa chanjo ni only 42% effective, Huku chuo kimoja Japan ikisema chanjo haitakuzuia na Lambda ...🤣🤣
 
Back
Top Bottom