#COVID19 Umoja wa Afrika (AU) waitengea Tanzania dozi milioni 17 za COVID-19

baada ya kuchanjwa Watanzania wote kwa 99.99% mimi nitakua wa mwisho...
 
baada ya kuchanjwa Watanzania wote kwa 99.99% mimi nitakua wa mwisho...

Huwezi kuwa wa mwisho sababu mimi nakusubiria uchanjwe kwanza wewe ili niwe wa mwisho
 
Hii chanjo kila mmoja atachanjwa , na ni lazima πŸ˜‚ only matter of time
Kingpin Jobo Kambana Gwajiboy Tayari
Huingii Mjengoni Mpaka Uchanjwe
Wapi Sasa Hivi
Kabudi,Jafo Na Msukuma
πŸ˜€πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜„
Nawa~ZoomπŸ˜πŸ™„πŸ˜ΆπŸ˜‘
 
bila shaka wameshapokea chanjo tayari maana wameanzia inner cycle kabisa
 
Hii chanjo kila mmoja atachanjwa , na ni lazima πŸ˜‚ only matter of time
Nimesikia Kenya watumishi wa umma wawe wamechanjwa at least chanjo 1 ya Covid-19 kabla ya tarehe 30 mwezi huu wanaondoa kufanya kazi ukiwa nyumbani.
Kwetu tu siyo siku nyingi ulazima au umuhimu wa kuchanja utakuja ili kupata huduma mbali mbali.
 
Bwana kipenyo mmoja karopoka kuwa lazima kila adungwe kwa hizi za msaada zikiisha hatari yaja hutaweza kupata huduma kwenye ofisi fulani fulani
 
Reactions: Lee
Kwelii hii nchi iko out of phase kwA digrii 180...leo hii Israel wakasema uwezo wa chanjo ni only 42% effective, Huku chuo kimoja Japan ikisema chanjo haitakuzuia na Lambda ...🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…