Umoja wa kitaifa ukoje katika hili huko Zanzibar

Umoja wa kitaifa ukoje katika hili huko Zanzibar

Tardy

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
1,287
Reaction score
1,607
Rais,

M/wa kwanza wa Rais
M/wa pili wa Rais.

Ikitokea Rais kaitwa kuwatumikia malaika nani anapanda kuwa Rais?
1. Kama atapanda No 2 kuwa Rais na No 3 kuwa M/wa kwanza wa Rais.Ni yupi mwenye mamlaka ya kumteua M/wa pili wa Rais.

2. Shughuli za baraza la wawakilishi ni yupi atahusika.

3. Rais amepanda huku hakuwa mwenye sera za chama husika hapo utekelezaji wa ilani ukoje/ itakuwaje.

Tafadhali mwenye uelewa na katiba ya umoja wa kitaifa yuko Zanzibar.
 
Back
Top Bottom