Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ata mm nashangaa sana aisee, alafu utakuta ni baba wa familia na ana watoto.Hivi watu hua wanatoaga wapi akili za namna hii ?
Mtu chap kafikiria ajiite kunguru dar na tamko atoe..na hawa wengi wao wako dar na mara nying hizi akili hua zinakuja mida ile ya jion wakat anakula chipsAta mm nashangaa sana aisee, alafu utakuta ni baba wa familia na ana watoto.
Watu..tukio ni la jana lakin chap mtu katoa tamkoWatu au kunguru[emoji23]
😃😃😃😃😃😃
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]akishushia na pepsi baridiMtu chap kafikiria ajiite kunguru dar na tamko atoe..na hawa wengi wao wako dar na mara nying hizi akili hua zinakuja mida ile ya jion wakat anakula chips
Hivi hakunaga kunguru weupe? Mbona wazungu wanahujumu hii rangi yetu nyeusi, kila kitu kibaya cheusi
Wapo ndugu zetu waliovaa vest nyeupe sana sana wanapatikana moshi