Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Utarogwa we boya. 😂😂😂Wanaliwa nyuma hao machifu uchwara
Wapuuzi ni wengi sana TanganyikaUmoja wa Machief wa Kabila la kisafwa pamoja na kabila la Kinyakyusa Mkoani Mbeya wamekutana Julai 02, 2026 kwa lengo la kupaza sauti zao kukemea na kupinga vikali Tetesi zinazosambaa Mitaani na Mitandao ya kijamii zikidai mapema Mwezi huu Julai Saba 2026 kutakuwa na Maandamano nchi nzima.
Machief hao wamesema wanaotaka kuandamana hawana nia Njema na Taifa hili hivyo wao kama viongozi wa Kimila hawatakubali na hawatamvumilia Kijana yeyote atakayekaidi Maagizo na Maelekezo waliyoyatoa.
Ujinga tu. Watawafanya nini waandamanaji? Watawaroga? Tukubali tu kwamba level ya maandamano ambayo hadi serikalini huko watapoteana bado haijafikiwa. Hakutakua na sijui machifu, Polis, sijui umbwa mwitu nk. Watu milioni mbili tu wakiandamna katika kila mikoa mitatu tu. Tutapoteana. Tulinde amani ya inchi si kwa kutishiana ila kwa ku reconcileUmoja wa Machief wa Kabila la kisafwa pamoja na kabila la Kinyakyusa Mkoani Mbeya wamekutana Julai 02, 2026 kwa lengo la kupaza sauti zao kukemea na kupinga vikali Tetesi zinazosambaa Mitaani na Mitandao ya kijamii zikidai mapema Mwezi huu Julai Saba 2026 kutakuwa na Maandamano nchi nzima.
Machief hao wamesema wanaotaka kuandamana hawana nia Njema na Taifa hili hivyo wao kama viongozi wa Kimila hawatakubali na hawatamvumilia Kijana yeyote atakayekaidi Maagizo na Maelekezo waliyoyatoa.