Ndugu machief nyie mmefuga mbwa mwitu pia,ama mmeamua kufuga fisi ama simba?Umoja wa Machief wa Kabila la kisafwa pamoja na kabila la Kinyakyusa Mkoani Mbeya wamekutana Julai 02, 2026 kwa lengo la kupaza sauti zao kukemea na kupinga vikali Tetesi zinazosambaa Mitaani na Mitandao ya kijamii zikidai mapema Mwezi huu Julai Saba 2026 kutakuwa na Maandamano nchi nzima.
Machief hao wamesema wanaotaka kuandamana hawana nia Njema na Taifa hili hivyo wao kama viongozi wa Kimila hawatakubali na hawatamvumilia Kijana yeyote atakayekaidi Maagizo na Maelekezo waliyoyatoa.
Hao watakuwa wamenunuliwa na Wahuni, maana lugha yao ni ile ile, kwamba wananchi hawajui matatizo yao na madai yao kwa serikali haramu hadi wapewe pesa kutoka nje??Umoja wa Machief wa Kabila la kisafwa pamoja na kabila la Kinyakyusa Mkoani Mbeya...