Umoja wa Machifu mkoa wa Mara watoa ONYO kwa wanasiasa wanaotoa matamshi ya kutotambua umuhimu wa Machifu nchini

Wasaka tonge wanatafuta ugali wakalishe wake zao
 
Viongozi wandamini wanajua sana kucheza mdundo wa mabosi wao.

Sasa hivyi kila Rais akienda sehemu lazima akutane na chifu.

Sijuui wanalipwa shilingi ngapi hawa machifu?.
 
Machifu wanakula kiyoyozi!
 
Eti machifu. [emoji1787][emoji1787]...
Dunia ya leo unaleta porojo za uchifu....
Hawa jamaa naona wamechanganyikiwa...

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Sasa chifu hangaya ni chifu wa kisukuma sio chifu wa mara wao wanamtambua vipi kama chifu wao.

Walisema ili swala la machifu linaanza mdogo mdogo litakua kubwa na limeaanza
Ni chifu mkuu..tambu kabila la wasukuma ni kubwa kuliko makabila yote Tz..

#MaendeleoHayanaChama
 
HAKUNA CHA MACHIFU HAPO NI ULAGHAI TU
 

03 February 2022
Musoma, Mara
Tanzania

Polepole Apewa Onyo Kali, Tutamuonesha . Wamjibu kuwaita Machifu Kuwa Ni Wachawi.

Rais Samia Suluhu ambaye ni Chifu Mkuu, anatuunga mkono sisi Machifu wenzie wa maeneo mbalimbali asisitiza chifu Askofu Wanzangi na kuwataka Ma-DC na viongozi wengine wa kiserikali kuwatambua na kushirikiana nao kutatua matatizo ya kijamii na kimila...
Source : KINGCHARZ TV
 
Ila bibi maushungi haya mambo anayo entertain sasa yatakuja mtokea puani.
Nasubiria chief Kingalu Mwanabanzi naye ajitokeze
 

Nchi ya hovyo Sana hii
 

Waambieni wapeleke huko upumbavu wao!

Kwenye Katiba yetu, hakuna watu wenye birthrights za kuwatawala wengine!
 
Hii kitu mnaona sasa jinsi inaleta mambo mapya. Wameonjeshwa sasa wanajitokeza kudai uhalali. Hao machifu nani kawateua na huyo mwenyekiti wao ana uhalali gani.
Tumesema samia aachane na mambo ya machifu. Tutarudi kwenye ukabila desturi za kishirikina na machifu kuingilia kazi za kiserikali kuhusu ardhi na kadhalika
 
Mambo ya machifu ni ushirikina tu,ni kuingiza nchi kwenye mambo ya giza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…