mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Wana mkwala sana ...maana wametoa "ONYO"Kwa hao machifu wa" tuma na yakutolea" hakuna kitu kama hicho
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana mkwala sana ...maana wametoa "ONYO"Kwa hao machifu wa" tuma na yakutolea" hakuna kitu kama hicho
Wasaka tonge wanatafuta ugali wakalishe wake zaoUmoja wa Machifu Mara umekutana na vyombo vya habari nakutoa Onyo kwa baadhi ya Wanasiasa wanaotoa matamshi ya kuonesha kutotambua umuhimu wa Machifu nchini na kuwasihi watanzania wawaone Wanasiasa hao kama watu wenye nia ya kuvunja umoja wa kitaifa.
Pia soma > Humphrey Polepole: Mambo ya machifu hayana msaada kwa taifa, yanaweza kuleta ukabila na mgawanyiko, yanapaswa kupingwa
Mwenyekiti wa Machifu Mkoa wa Mara, Japhet Wanzagi amesema kuwa kama mnavyojua Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ndiye mkuu wa Machifu wote nchini kwa jina la Chifu Hangaya sisi kama Machifu wa mkoa wa Mara tumejipanga kumpokea Chifu wetu.
Kuna mtu alikuwa anasema Machifu hawakuwepo, machifu walikuwepo muda mrefu tangu kipindi cha mkoloni. Mtu anayesema Machifu walipandikizwa na mkoloni na wakaondolewa na Baba wa Taifa huyo ni muongo.
Machifu walitolewa kwenye mamlaka ya Serikali lakini walirudi kuwa viongozi kwenye jamii zao, ila katika kipindi cha awamu ya Sita, Rais Samia ametupa heshima sana Machifu.
Majukumu yetu makubwa sisi Machifu ni upatanishi hasa kuanzia ngazinya familia mpaka ngazi ya mamlaka za juu na mara nyingi uwepo wetu umesaidia kutatua migogoro kwenye jamii zetu.
Naye Dkt. petter Makomara ambaye ni msemaji wa kabila la Wasorwa amesema kuwa
Sisi Machifu wa Mara tunamuahidi Chifu wetu Hangaya ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwa tutaendelea kulinda amani yetu ili kupunguza matukio ya kiuhalifu kwa Mara.
Kuna rasimu inashughulikiwa ipo Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo itatuhusisha sisi Machifu hasa kwenye migogoro na mwisho wa siku tutapunguza baadhi ya matukio ya jinai.
Chifu wa Kiseru Rorya, Msangia Ngoje yeye amedai kuwa kuna watu wanaandika mtandaoni na kutukosea heshima Machifu, wengine tunawafahamu wana laana kweye koo zao huko nyumbani, ndio maana kila siku wanaongelea Dar es Salaam mara Morogoro au mtandaoni na nyumbani kwao hawaendi.
Tunashauri inapotokea matukio ya kijinai viongozi wa kiusalama wa mkoa waje kutufuata Machifu ili tuweze kukemea na kuondoa laana kwenye hizo koo.
Mwisho.
Machifu wanakula kiyoyozi!Umoja wa Machifu Mara umekutana na vyombo vya habari nakutoa Onyo kwa baadhi ya Wanasiasa wanaotoa matamshi ya kuonesha kutotambua umuhimu wa Machifu nchini na kuwasihi watanzania wawaone Wanasiasa hao kama watu wenye nia ya kuvunja umoja wa kitaifa.
Pia soma > Humphrey Polepole: Mambo ya machifu hayana msaada kwa taifa, yanaweza kuleta ukabila na mgawanyiko, yanapaswa kupingwa
Mwenyekiti wa Machifu Mkoa wa Mara, Japhet Wanzagi amesema kuwa kama mnavyojua Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ndiye mkuu wa Machifu wote nchini kwa jina la Chifu Hangaya sisi kama Machifu wa mkoa wa Mara tumejipanga kumpokea Chifu wetu.
Kuna mtu alikuwa anasema Machifu hawakuwepo, machifu walikuwepo muda mrefu tangu kipindi cha mkoloni. Mtu anayesema Machifu walipandikizwa na mkoloni na wakaondolewa na Baba wa Taifa huyo ni muongo.
Machifu walitolewa kwenye mamlaka ya Serikali lakini walirudi kuwa viongozi kwenye jamii zao, ila katika kipindi cha awamu ya Sita, Rais Samia ametupa heshima sana Machifu.
Majukumu yetu makubwa sisi Machifu ni upatanishi hasa kuanzia ngazinya familia mpaka ngazi ya mamlaka za juu na mara nyingi uwepo wetu umesaidia kutatua migogoro kwenye jamii zetu.
Naye Dkt. petter Makomara ambaye ni msemaji wa kabila la Wasorwa amesema kuwa
Sisi Machifu wa Mara tunamuahidi Chifu wetu Hangaya ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwa tutaendelea kulinda amani yetu ili kupunguza matukio ya kiuhalifu kwa Mara.
Kuna rasimu inashughulikiwa ipo Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo itatuhusisha sisi Machifu hasa kwenye migogoro na mwisho wa siku tutapunguza baadhi ya matukio ya jinai.
Chifu wa Kiseru Rorya, Msangia Ngoje yeye amedai kuwa kuna watu wanaandika mtandaoni na kutukosea heshima Machifu, wengine tunawafahamu wana laana kweye koo zao huko nyumbani, ndio maana kila siku wanaongelea Dar es Salaam mara Morogoro au mtandaoni na nyumbani kwao hawaendi.
Tunashauri inapotokea matukio ya kijinai viongozi wa kiusalama wa mkoa waje kutufuata Machifu ili tuweze kukemea na kuondoa laana kwenye hizo koo.
Mwisho.
Ni chifu mkuu..tambu kabila la wasukuma ni kubwa kuliko makabila yote Tz..Sasa chifu hangaya ni chifu wa kisukuma sio chifu wa mara wao wanamtambua vipi kama chifu wao.
Walisema ili swala la machifu linaanza mdogo mdogo litakua kubwa na limeaanza
Hawa Machief wa kujipachika. Wengi wao hata Uenyekiti wa kijiji hawajapewa. Leo wanata kuongoza kabila zima bila hiyari ya wanaowaongoza. This is pathetic.Kwa mara ya Kwanza ndo nimesikia kuwa hata rorya Kuna chief.
Sent from my Lenovo TB-7305X using JamiiForums mobile app
HAKUNA CHA MACHIFU HAPO NI ULAGHAI TUUmoja wa Machifu Mara umekutana na vyombo vya habari nakutoa Onyo kwa baadhi ya Wanasiasa wanaotoa matamshi ya kuonesha kutotambua umuhimu wa Machifu nchini na kuwasihi watanzania wawaone Wanasiasa hao kama watu wenye nia ya kuvunja umoja wa kitaifa.
Pia soma > Humphrey Polepole: Mambo ya machifu hayana msaada kwa taifa, yanaweza kuleta ukabila na mgawanyiko, yanapaswa kupingwa
Mwenyekiti wa Machifu Mkoa wa Mara, Japhet Wanzagi amesema kuwa kama mnavyojua Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ndiye mkuu wa Machifu wote nchini kwa jina la Chifu Hangaya sisi kama Machifu wa mkoa wa Mara tumejipanga kumpokea Chifu wetu.
Kuna mtu alikuwa anasema Machifu hawakuwepo, machifu walikuwepo muda mrefu tangu kipindi cha mkoloni. Mtu anayesema Machifu walipandikizwa na mkoloni na wakaondolewa na Baba wa Taifa huyo ni muongo.
Machifu walitolewa kwenye mamlaka ya Serikali lakini walirudi kuwa viongozi kwenye jamii zao, ila katika kipindi cha awamu ya Sita, Rais Samia ametupa heshima sana Machifu.
Majukumu yetu makubwa sisi Machifu ni upatanishi hasa kuanzia ngazinya familia mpaka ngazi ya mamlaka za juu na mara nyingi uwepo wetu umesaidia kutatua migogoro kwenye jamii zetu.
Naye Dkt. petter Makomara ambaye ni msemaji wa kabila la Wasorwa amesema kuwa
Sisi Machifu wa Mara tunamuahidi Chifu wetu Hangaya ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwa tutaendelea kulinda amani yetu ili kupunguza matukio ya kiuhalifu kwa Mara.
Kuna rasimu inashughulikiwa ipo Wizara ya Mambo ya Ndani ambayo itatuhusisha sisi Machifu hasa kwenye migogoro na mwisho wa siku tutapunguza baadhi ya matukio ya jinai.
Chifu wa Kiseru Rorya, Msangia Ngoje yeye amedai kuwa kuna watu wanaandika mtandaoni na kutukosea heshima Machifu, wengine tunawafahamu wana laana kweye koo zao huko nyumbani, ndio maana kila siku wanaongelea Dar es Salaam mara Morogoro au mtandaoni na nyumbani kwao hawaendi.
Tunashauri inapotokea matukio ya kijinai viongozi wa kiusalama wa mkoa waje kutufuata Machifu ili tuweze kukemea na kuondoa laana kwenye hizo koo.
Mwisho.
Umoja wa Machifu Mara umekutana na vyombo vya habari nakutoa Onyo kwa baadhi ya Wanasiasa wanaotoa matamshi ya kuonesha kutotambua umuhimu wa Machifu nchini na kuwasihi watanzania wawaone Wanasiasa hao kama watu wenye nia ya kuvunja umoja wa kitaifa.

Umesikia biti hiyo[emoji23][emoji23][emoji23] la machifu
Hivi machifu sahv wanaweza simamisha mvua au kumgandisha mtu

Hii kitu mnaona sasa jinsi inaleta mambo mapya. Wameonjeshwa sasa wanajitokeza kudai uhalali. Hao machifu nani kawateua na huyo mwenyekiti wao ana uhalali gani.Umoja wa Machifu Mara umekutana na vyombo vya habari nakutoa Onyo kwa baadhi ya Wanasiasa wanaotoa matamshi ya kuonesha kutotambua umuhimu wa Machifu nchini na kuwasihi watanzania wawaone Wanasiasa hao kama watu wenye nia ya kuvunja umoja wa kitaifa.