Umoja wa makabila vyuoni

Umoja wa makabila vyuoni

Kuna mambo yanatuweka pamoja zaidi ya kututenganisha. Hivyo vyma vilikua vinasaidia sana na vilijenga sana maadili vyuo vikuu.

Mfano: UDSM kulikua na vyama vya Warombo, wakibosho, wauru, wanaarusha wanakagera, n.k na Kila mwaka walifanya get together part kuwakaribisha first year na kuwaaga finalists.

Uzuri wake wapya walipewa maadili Nini wafanye waweze kumaliza course zao salama bila sup na makundi gani kujiepusha nao. Hii ilipelekea watu kufahamiana hata kama walitaka course tofauti.

Kubwa zaidi walishikamana pale mojawapo alipata shida au alipokua na jambo la kusherekea. Na walipanga namna ya kuwasaidia wadogo zao waweze kufika chuo kikuuu. Mfano waliokuwa wanasomea ualimu waliombwa kwenda au kuwashawishi wenzako kwenda kufanya fieldkwenye shule zilizokuwepo kwenye maeneo watokapo ili kuwasaidia waliopo secondary wafanye vizuri.

Kwa bahati mbaya sana for political reasons vikaitwa vyama vya kikabila.

Nimetoa mfano wa Kilimanjaro makusudi kwani kulikua na vyama zaidi ya kumi (wanasame, warombo, wanavunjo, wanaoldmoshi, wauru, wakibosho, wanahai, wanasiha etc) hayo sio makabila.

Mikoa mingine mfano Wanapwani(Dar na Pwani), wanamoro, wanakagera, kigoma na tabora walikuawameungana etc ukiangalia hakukuwa na msukumo wa kikabila zaidi kusaidiana na kuwaweka pamoja zaidi. Hilo halikuonekana bali ilionekana ni ukabila.

Mleta mada nae amekuja na jambo Hilo Hilo Kwa mtazamo hasi zaidi badala ya kuona positive aspect.

Diaspora wakikutana huko hawaitwi wakabila hata kama wameitana kikabila(maeneo watokapo) ila huku nyumbani tukiitana tuliotoka sehemu Moja ukabila.

Our mind sets are corrupted by the political leaders na wanatuendesha watakavyo
 
Yaani mnataka warombo ndo wafaulu na wasipate safi vipi makabila madogo yasiyo na wengi katika eneo hilo mnataka nani awaonyeshe njia. Ningejua ulipo ningekufuata na nikukate masikio yako.Sisi ni watanzania na tusaidiane kwa utaifa wetu.Mimi walionisaidia wote katika maisha yangu hawakuwa kabila langu.
 
Kama mbunge wako alikua hafanyi basi wanafunzi walikua wanafanya. Hata hao wengine walikua wanaweza kulobby wanafunzi walimu waende kufanya field kwako.
 
Back
Top Bottom