Umoja wa Mataifa umeishutumu rasmi Marekani kwa kutenda uhalifu wa kivita nchini Iran

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
57,035
Reaction score
46,479
Wanaukumbi.

⚡️HABARI MPYA: Umoja wa Mataifa umeishutumu rasmi Marekani kwa kutenda uhalifu wa kivita nchini Iran.

Chombo kikuu cha Umoja wa Mataifa kinachoshughulikia haki za binadamu kimesema kimebaini kuwepo kwa misingi ya kutosha kuamini kuwa Marekani ilitenda uhalifu wa kivita katika mashambulizi mawili nchini Iran.

Screenshot 2026-09-17 at 13-54-38 (1) Iran Observer on X ⚡️BREAKING The UN has Officially Accu...png
 
Mkubwa Hajambi mkuu, Watauvunja huo umoja ambao serikali ya marekani imejichimbia mizizi makilomitas.

Jedwali la Michango ya Mataifa 20 Bora (Asilimia). Hiyo Iran mchango wake inaweza kuwa ni 0.001

NafasiNchiMchango kwenye Bajeti (%)
1Marekani22.00%
2China20.00%
3Japan6.90%
4Ujerumani5.70%
5Uingereza4.00%
6Ufaransa3.90%
7Italia2.80%
8Canada2.50%
9Brazil~2.00%
10Australia2.00%
11Urusi (Russian Federation)1.90%
12Korea Kusini~1.80%
13Hispania~1.60%
14India1.10%
15Saudi Arabia~1.10%
16Uholanzi~1.00%
17Uswisi~1.00%
18Uturuki~0.90%
19Mexico~0.80%
20Sweden~0.70%
Kumbuka: Marekani na China pekee zinachangia takriban 42% ya bajeti nzima ya kawaida ya UN, huku mataifa mengine madogo yakichangia kiwango cha chini kabisa cha kisheria ambacho ni 0.001%
 
Utasikia , kuna viongozi wa US wamewekewa vikwzo rasmi..Wagalatia ni wanafiki , walienda mpaka ofisini kumuombea ili ashinde vita , halafu wanakuja kukudanganya eti wanasimamia haki.

Mtu anaombewa na viongozi wa dini ,huku alishaua watoto wa shule , viongozi na watu wengi tu .
 
Wanaukumbi.

⚡️HABARI MPYA: Umoja wa Mataifa umeishutumu rasmi Marekani kwa kutenda uhalifu wa kivita nchini Iran.

Chombo kikuu cha Umoja wa Mataifa kinachoshughulikia haki za binadamu kimesema kimebaini kuwepo kwa misingi ya kutosha kuamini kuwa Marekani ilitenda uhalifu wa kivita katika mashambulizi mawili nchini Iran.

View: https://x.com/iranobserver0/status/2100514652434190601?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Sasa mmeridhika, tusubiri na mienendo wa ICC kuhusu Oktoba 2025
 
Cha kutia farajani kwamba marekan hayupo kwenye huo umoja wa mataifa so sioni impact
 
Marekani anakosekanaje hapo wakati ni muanzilishi wa huo Umoja tena mwenye mchango mkubwa ?..
 
Mkubwa Hajambi mkuu, Watauvunja humo umoja ambao serikali ya marekani imejichimbia mizizi makilomitas.

Jedwali la Michango ya Mataifa 20 Bora (Asilimia). Hiyo Iran mchango wake inaweza kuwa ni 0.001

NafasiNchiMchango kwenye Bajeti (%)
1Marekani22.00%
2China20.00%
3Japan6.90%
4Ujerumani5.70%
5Uingereza4.00%
6Ufaransa3.90%
7Italia2.80%
8Canada2.50%
9Brazil~2.00%
10Australia2.00%
11Urusi (Russian Federation)1.90%
12Korea Kusini~1.80%
13Hispania~1.60%
14India1.10%
15Saudi Arabia~1.10%
16Uholanzi~1.00%
17Uswisi~1.00%
18Uturuki~0.90%
19Mexico~0.80%
20Sweden~0.70%
Kumbuka: Marekani na China pekee zinachangia takriban 42% ya bajeti nzima ya kawaida ya UN, huku mataifa mengine madogo yakichangia kiwango cha chini kabisa cha kisheria ambacho ni 0.001%
NONE TO BE WORSHIPPED EXCEPT JESUS CHRIST AND PAUL IS HIS MESSENGER.

Malaria 2 Ertugrul Bey Ritz mdogoee Tanganian Kraang Makebo adriz de mbusii Jagina
 
Wanaukumbi.

⚡️HABARI MPYA: Umoja wa Mataifa umeishutumu rasmi Marekani kwa kutenda uhalifu wa kivita nchini Iran.

Chombo kikuu cha Umoja wa Mataifa kinachoshughulikia haki za binadamu kimesema kimebaini kuwepo kwa misingi ya kutosha kuamini kuwa Marekani ilitenda uhalifu wa kivita katika mashambulizi mawili nchini Iran.

View attachment 3672460

Kwani Iran yupo umoja wa mataifa??
 
Wanaukumbi.

⚡️HABARI MPYA: Umoja wa Mataifa umeishutumu rasmi Marekani kwa kutenda uhalifu wa kivita nchini Iran.

Chombo kikuu cha Umoja wa Mataifa kinachoshughulikia haki za binadamu kimesema kimebaini kuwepo kwa misingi ya kutosha kuamini kuwa Marekani ilitenda uhalifu wa kivita katika mashambulizi mawili nchini Iran.
Kwahiyo ukija huku unasimama pamoja na chombo kikuu cha UN kushughulikia haki za binadamu, ila nchini kwako unasimama na wasigina haki kuwakandamiza wenye haki?

Unafiki wa kiwango cha juu. Hutokuwa na amani ya moyo mpaka pale utakapoacha unafiki.
 
We LOFA ulipoanzisha uzi wa kumkandia TAL,kuanzia leo sisomi tena Utumbo wako...MATAKO yako.
Nimelishangaa sana hili kenge linafiki, sikujua kama li ndumilakuwili linalosumbuliwa na udini!

Huwa naliona la maana likipambana kutetea haki jukwaa hili la international, kumbe likirudi Tz linageuka na kuwa kinyume kabisa!
 
Wanaukumbi.

⚡️HABARI MPYA: Umoja wa Mataifa umeishutumu rasmi Marekani kwa kutenda uhalifu wa kivita nchini Iran.

Chombo kikuu cha Umoja wa Mataifa kinachoshughulikia haki za binadamu kimesema kimebaini kuwepo kwa misingi ya kutosha kuamini kuwa Marekani ilitenda uhalifu wa kivita katika mashambulizi mawili nchini Iran.

View attachment 3672460
 
Attachments

  • Screenshot_20260918_055201_Chrome.jpg
    Screenshot_20260918_055201_Chrome.jpg
    147.6 KB · Views: 10
Back
Top Bottom